Jamani hebu waoneni hawa; hivi kweli ni viongozi?

Ninavyoona hapo mimi ninashangaa (kwa sababu ni ya zamani na tuliijadili sana, tena sana tu), pia naambia kwa msisitizo (ndio maana nikaongeza vihanjumati kwenye neno zamani), na mwisho silaumu kwani sioni cha kulaumu.

Sasa ndugu Anyisile Obheli, utovu wangu wa hekima uko wapi hapi? Hebu nioneshe basi ili niweze kujirudi safari ijayo. Asante sana.
no usijari mkuu, yawezekana tumepishana kwenye tafsili lugha, wala hakijaharibika kitu,
tuko pa1, lets go on!!
 
Back
Top Bottom