Jamani hebu waoneni hawa; hivi kweli ni viongozi?

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Hivi hawa watunatufaa kuwa katika Wakuu.jpg ngazi ya kuliongoza taifa
 
Hehhe hhe hii pic nimemuonyesha mtu hapa anakufa kwa kucheka hahha hahhahha duh!
 
Na nyinyi bana....hii picha ya zaaaaaaamaaaaani....tulishaijadili hapa tokea enzi za jamboforums.com....
 
jamani hii picha ishaletwa hapa jamvini muda kitambo, pitieni threads wakubwa ndo maana huwa nasema usiache siku ipite bila kukanyaga hapa jamvini usijeleta habari kama BREAKING news kumbe ishachoka. Anyways asante kwa kutukumbusha!
 
Na nyinyi bana....hii picha ya zaaaaaaamaaaaani....tulishaijadili hapa tokea enzi za jamboforums.com....
asante mkuu, nadhani umesahau ya kuwa ulipokuwa umeshiba wewe wengine walikuwa na njaa, ulipokuwa macho wengine walikuwa wamelele,
pia kumbuka humu JF hatufanani kiumri, mengine kama kwako si mapya we skip tu
utaonekana mwenye maarifa zaidi
 
Kwa hiyo ukirudia rudia mambo ya zamani bila kujua kwamba yameshapita hapa tusikuambie, sio? Uachwe tu?
 
jmani hii picha ishaletwa hapa jamvini muda kitambo, pitieni threads wakubwa ndo maana huwa nasema usiache siku ipite bila kukanyaga hapa jamvini usijeleta habari kama BREAKING news kumbe ishachoka. Anyways asante kwa kutukumbusha!
umenena vyema but si kila mtu have an enough time to do so,
 
Kwa hiyo ukirudia rudia mambo ya zamani bila kujua kwamba yameshapita hapa tusikuambie, sio? Uachwe tu?
ni vema kukumbushana, lakini staili yako ya kuambia haina, hekima
any way si ugonvi kikubwa umefahamu kuwa tuko tofauti kiumri humu ndani kwani
kibaya nini kama jambo linarudiwa? ulipokwepo wewe mwingine hakwepo, na ndiyo maana kwako ni ya zamani lakini kwa wengine ni mpya
 
Umetumia ki/vipimo gani kutathmini hekima ya staili yangu ya kukuambia? Kwa maneno mengine, umefikiaje hitimisho lako la kwamba staili yangu ya kukuambia haina hekima?
 
kwani hii post si ya kwako?
Na nyinyi bana....hii picha ya zaaaaaaamaaaaani....tulishaijadili hapa tokea enzi za jamboforums.com....

unavyoona hapo wewe unaambia, unashangaa, au unalaumu? nadhani unakitumia vizuri kiswahili na sentensi zake
 
Ninavyoona hapo mimi ninashangaa (kwa sababu ni ya zamani na tuliijadili sana, tena sana tu), pia naambia kwa msisitizo (ndio maana nikaongeza vihanjumati kwenye neno zamani), na mwisho silaumu kwani sioni cha kulaumu.

Sasa ndugu Anyisile Obheli, utovu wangu wa hekima uko wapi hapi? Hebu nioneshe basi ili niweze kujirudi safari ijayo. Asante sana.
 
sawa mkuu, huu si ugonvi wala vita nimekuelewa sana, but mi naona wewe, uko sahihi kulingana
na uzamani wako humu ndani, so we've to produce a good chance to athers'post who had't seen it b4
 
Back
Top Bottom