Jamani haya matangazo..!!

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
jamani kunamatangazo yananikera sana kwani watoto wangu na wamajirani yamewaharibu kweli kweli lakwanza ni hili la zain linalosema weweeeeeee uhuru wa kuongea jamaa ananyuka anaanza kukata mauno kisawasawa sasa ukiwaona watoto walivyolikrem mwanzo mwisho nawanavyokatika yani ni balaa.
lingine ni hili la serengeti serengeti sasa nikiyatazama sioni yanamaana gani kulingana na wanachokitangaza au nikuteka umakini wa watu kwanza kama ndivyo walengwa wamekukuwa ni watoto zaidi

ebu tushauriane ili huu ni mtazamo wangu
 
hivi wewe drphone.....!nipe sori kidogo kuhusu hilo jina...!nimelipenda sana
 
mengine yanasababisha kiu tu!!
sasa kama lile la safari (silikumbuki vizuri) au la castle laga, bia ya baridiii, halafu mtu anaimimina kwenye glass, halafu anaipiga kama nusu hivi.

si balaa hii sasa kwa akina Xpin and the Co.
 
Unashauriwa kuwa karibu na kuwadhibiti watoto wasiangalie pindi yanapotokea matangazo kama hayo maana yanahusu wakubwa... Vinginevyo usipokuwepo zima kabisa TV ili wasipate fursa ya kutazama matangazo ya namna hiyo.....!!!
 
yani ww acha tu,mm nilimnunulia my gal vile vitabu vya kusoma vyenye picha nikaanza,BBY SAY APPLE-APPLE,tukaendelea mengine nikafika hapa,BBY SAY CHITA-EEEH MAMA SERENGETI SERENGETI,nikaduwaa kila nikimfundisha ananiambia mama uyu serengeti bwana sio chita
 
Tatizo nhi yetu ina uingi mkubwa wa watu wenye upungufu mkubwa wa upembuzi thats why hata humu katika JF utaona baadhi ya komenti zilivyo za ajau hii inanesha jinsi mawazo ya mtoa komenti yalivyolaliwa na upotofu zaidi, Kiujumla haya matangazo si jamii nzima hata mie nashangaa kuwekwa hata asubuhi mi nadhani yangekuwa na muda maluumu ka kwanzia saa 6:00 usiku hivi,
 
jamani kunamatangazo yananikera sana kwani watoto wangu na wamajirani yamewaharibu kweli kweli lakwanza ni hili la zain linalosema weweeeeeee uhuru wa kuongea jamaa ananyuka anaanza kukata mauno kisawasawa sasa ukiwaona watoto walivyolikrem mwanzo mwisho nawanavyokatika yani ni balaa.
lingine ni hili la serengeti serengeti sasa nikiyatazama sioni yanamaana gani kulingana na wanachokitangaza au nikuteka umakini wa watu kwanza kama ndivyo walengwa wamekukuwa ni watoto zaidi

ebu tushauriane ili huu ni mtazamo wangu

watoto wote under 8 wanapenda matangazo, we chunguza kila tangazo linapoanza tu hata kama anakula anaacha kuangalia - hapo tunakatiwa mauno kwa kwenda mbele.

uhuruuu wa kongeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa - tena wacha niende home niwahi nikaone mauno.

hakuna ubaya mkuu - usiwe na wasiwasi, labda la kondom ndiyo utapata maswali mengi - hicho ni nini - kinalinda eti maisha - ukimpenda mpe mbona sisi hautupi nk

maisha ya utandawazi mzee
 
Sioni ubaya wa hayo matangazo, lile la serengeti yule demu anakata kiuno mpaka anamdondosha bwanaharusi!pale inadhihirisha jinsi chui alivo mtamu, weweeeeee, uhuru wa kunywa bia...!
 
yani ww acha tu,mm nilimnunulia my gal vile vitabu vya kusoma vyenye picha nikaanza,BBY SAY APPLE-APPLE,tukaendelea mengine nikafika hapa,BBY SAY CHITA-EEEH MAMA SERENGETI SERENGETI,nikaduwaa kila nikimfundisha ananiambia mama uyu serengeti bwana sio chita

hahaaa we Lulu wewe umeniacha hoi jamani loh!!!!!!
 
mengine yanasababisha kiu tu!!
sasa kama lile la safari (silikumbuki vizuri) au la castle laga, bia ya baridiii, halafu mtu anaimimina kwenye glass, halafu anaipiga kama nusu hivi.

si balaa hii sasa kwa akina Xpin and the Co.

mh wengine tumewafikisha kwenye kuminanane zao
 
Unashauriwa kuwa karibu na kuwadhibiti watoto wasiangalie pindi yanapotokea matangazo kama hayo maana yanahusu wakubwa... Vinginevyo usipokuwepo zima kabisa TV ili wasipate fursa ya kutazama matangazo ya namna hiyo.....!!!

sio suluhisho mkuu
 
yani ww acha tu,mm nilimnunulia my gal vile vitabu vya kusoma vyenye picha nikaanza,BBY SAY APPLE-APPLE,tukaendelea mengine nikafika hapa,BBY SAY CHITA-EEEH MAMA SERENGETI SERENGETI,nikaduwaa kila nikimfundisha ananiambia mama uyu serengeti bwana sio chita

ebu ona utatamani ata umchape kumbe wapi
 
Tatizo nhi yetu ina uingi mkubwa wa watu wenye upungufu mkubwa wa upembuzi thats why hata humu katika JF utaona baadhi ya komenti zilivyo za ajau hii inanesha jinsi mawazo ya mtoa komenti yalivyolaliwa na upotofu zaidi, Kiujumla haya matangazo si jamii nzima hata mie nashangaa kuwekwa hata asubuhi mi nadhani yangekuwa na muda maluumu ka kwanzia saa 6:00 usiku hivi,

ni kweli kabisa mkuu
 
watoto wote under 8 wanapenda matangazo, we chunguza kila tangazo linapoanza tu hata kama anakula anaacha kuangalia - hapo tunakatiwa mauno kwa kwenda mbele.

uhuruuu wa kongeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa - tena wacha niende home niwahi nikaone mauno.

hakuna ubaya mkuu - usiwe na wasiwasi, labda la kondom ndiyo utapata maswali mengi - hicho ni nini - kinalinda eti maisha - ukimpenda mpe mbona sisi hautupi nk

maisha ya utandawazi mzee

tunajali zaidi watoto mkuu
 
Sioni ubaya wa hayo matangazo, lile la serengeti yule demu anakata kiuno mpaka anamdondosha bwanaharusi!pale inadhihirisha jinsi chui alivo mtamu, weweeeeee, uhuru wa kunywa bia...!

ebufikiria marambili mkuu
 
Kuna shida kidogo kwenye ulimwengu wa soko huria na maisha ya asili na nidhamu hasa kwenye kulinda maadili ya jamii kulingana na umri na imani za kidini
 
sioni shida na matangazo hayo..wala sikerekwi!
At somepoints inabidi ukereke kwani waandaaji wa matangazo huwa hawaangalii content ya matangazo yao na jamii tunayoishi. Kuna matangazo ambayo kimsingi yalitakiwa yawe na muda wa kuonyeshwa ila the content of the free market and the expansion of neo liberal through whatever its forms ndio ambalo watawala na wamiliki wa vyombo vya habari hawajawa aware navyo
 
Back
Top Bottom