Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

Hivi mtu akipendwa kumbe mnamwonea gere sio,kwann msinishauri kitu cha kueleweka? Mtu kama huna cha kunishauri ni bora unyamaze kimya loh!!
 
deep in your heart (if it functions) do you have feelings for the older lady?? by feelings I mean love, or you only after huo mkwanja mreefu?! vitu vingine baana haviitaji tukushauri, it seems you have already made your decision ila hapa jamvini umikuja kufanya "comfirmation test". kimbia teeena faaaaster, au mkapime mfunge ndoa (hata ya bomani) ndio mshirikiane kimwili.
 
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.

sasa unachanganikiwa nini mkuu wakat umesema hutak unahofia maisha yako. Respect your Attitude rather than love. Isitoshe kama ni hela hata wewe unaweza ukapata za kwako. BE SERIOUS.
 
Mweee kazana kuchapa
kazi we kijana,there is no shortcut way of
life! Behind pesa za mama there might be something fishy
and remember h.i.v kills u get it u die.
Na pia si kila msaada
unamaanisha kukukuruka
mingine is gods send
so kama vp tumia huo msaada vyema acha
kuhamia ngononi lool
 
Male prostitution! Jiuze mwaya,maisha magumu haya. Hakuna street ujipange kabisa?
maisha yenyewe magumu hivi mtu ninaelimu yangu lkn hainisaidii kazi zenyewe mpaka uwe mtoto wa mjomba ndio upewe,bora nichukue kilichojileta chenyewe! khaaa.
 
Mweee kazana kuchapa
kazi we kijana,there is no shortcut way of
life! Behind pesa za mama there might be something fishy
and remember h.i.v kills u get it u die.
Na pia si kila msaada
unamaanisha kukukuruka
mingine is gods send
so kama vp tumia huo msaada vyema acha
kuhamia ngononi lool

mbona kuna vischana kibao vimeolewa na wazee kisa pesa za wazee,hilo wewe hulioni?ila mm nikimiliki jimama ndio mnaona tabu sio?
 
mimi bwana nilibikiriwa na jimama... tena mke wa mtu na hakua na ngoma ila ni kwamba hata nilikua sijui ku#$$@@@#$ so mimi ninakushauri mchunguze vizuri kwanza na kama vipi unaona anakutamani asee hapo ni balaaa..!
 
Back
Top Bottom