Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

mjomba ww unajua ana pesa ndefu, na ndio unayoitaka, ya nini kutafta ushauri na jibu unalo?
 
kwani angekuwa binti ndo ungemwamin kuwa hana ngoma?nenda mkapime wote kama umempenda kuna watu wanataman wapate kama ww mwenyew hela ndefu kama huyu hujui "riziki ya mtu iko kwa mtu"au unahis ukiona mtu katoka kimaisha ni kuwa kashushiwa kapu la pesa?we shangaashangaa tu
 
kwani kuwa na mmama kuna tatizo gani?sioni tatizo inamaana ungetakwa na bint ungemkubali sbb hatakuua?au usingekuja kuuliza jf sio?kama umempenda na una wasiwas nae kapimen wote!kuna wenzio wanataka nafas km hyo et wataka kulipiga teke fuko la hela unachekesha.ndo njian ya kutoka kwako kupitia yeye we shangaa tu!

Umejuaje jooo? Mzuka sana mkuu,naufanyia kazi ushauri wako.
 
Inawezekana anakupenda kweli bana maana "mapenzi ni sawa na m.a.t.a.k.o ya mwehu hayachagui pa kukaa",si unajua kichaa anakaa popote hata juu ya makaa ya moto mkuu!

hahahahahahahahahahahah...
acha kumtetea huyu mtu...
hiyo ajira inadhalilisha utu wake, aachane na utumwa wa ngono afanye maisha...
 
Kuna wenzako wameleta sredi kama hii na wakashauriwa vizuri tu, hebu search utapata majibu, usiwe mvivu!
 
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.

kama personality yako ni ya vya bure utaiona hiyo pesa ni ndefu, kama personality yako inapenda ulichokifanyia kazi, na ulicho na uhuru nacho huyo mama si kitu kwako. hawa ni wa mama waliopoteza uelekeo, hata hiyo pesa haina uwingi wowote bali wewe waiona ndefu kwakuwa hujui inapatikanaje. nakushauri, mapenzi yapo, lakini pesa usiyoijua itakutia utumwa, achana nayo. jifunze kujitafutia, nasema jifunze kwakuwa naona hiyo pesa ya mama inataka kuku kamata.
 
Back
Top Bottom