Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.
 
kama una tamaa ya mihela basi jitose tu, maana uvivu wa fisi humponza akala mifupa wakati swala anawaona waleee!
 
wewe umeshaona sifa yake kuu ni kuwa na hela ndefu , kwa hiyo wewe ndicho ulichoona kwake kinakufaa??
 
mkuu besa nazitamani,bila mkwanja no life men! Hofu yangu ni kwamba si ajabu ana ngoma aniulie mbali mtoto wa mwenzie!!!
 
wewe umeshaona sifa yake kuu ni kuwa na hela ndefu , kwa hiyo wewe ndicho ulichoona kwake kinakufaa??

pesa ni kila kitu kiongozi,ww mwenyewe unafanya kazi ili upate pesa ausio!
 
kumbe unaamini nafanya kazi na natumia akili yangu yote ili nipate pesa na si kujirahisi kwa jimama kwa ajili ya pesa ..
 
Kwahiyo hiyo pesa ndio inakufanya usiwe na maamuzi??
Unalo!!Kubali kununuliwa kwa pesa ndefu ukabidhiwe maisha mafupi!!
 
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.

Tamaa mbaya usikute mjane huyo mme kafa kwa ngoma
Bora mkapime au tumia condom
 
sasa kumbe unajua kwamba anaweza kua na ngoma kwanini msipime sasa? Chondechonde Majimama ni nomaaaaa
 
mkuu besa nazitamani,bila mkwanja no life men! Hofu yangu ni kwamba si ajabu ana ngoma aniulie mbali mtoto wa mwenzie!!

Kumbe una akili zako timamu nafikili hakuna ushauri zaidi ya hayo uliyasema GOOD LUCKY HOME BOY
 
Back
Top Bottom