Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
leo nimegundua kweli majority mmu wanafagilia kuchapa watoto,yaani...hasa ukizingatia mi napinga hilo.
mimi siamini mtoto anarekebishika kwa kuchapwa. Kuna adhabu ukimpa mwenyewe lazma anyoke.
Wakati nipo shule tulikuwa tukiambiwa tuchague fimbo au adhabu tulikuwa tunachagua fimbo maana zitapoa muda huo huo na ni mara moja tu kuliko adhabu zinapoteza muda.
Msipende kuchapa watoto, mtawafanya wawe masugu.