Careboy wamuntere
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 163
- 35
[h=6]Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na bali ni ya kuchochea nchi isitawalike ili wazidi kujinufaisha kisiasa, na hizi taasisi ni vema serikali ikawa makini nazo, zipo kisiasa zaidi na kikabila na sio kimaslahi ya nchi, kama mheshimiwa Rais ana mamlaka nazo basi ni vema hawa wamama wanaojifanya kushabikia machafuko kwa mgongo wa kudai haki za binadam wakati kila kukicha tunasikia wamama wajawazito na vikongwa na watoto wanadhalilishwa lkn wapo kimya, ikitokea swala la migomo sijui kina ulimboka na walimu ndo midomo juu kama chupi. tuwaangalie vizuri hawa watu kwa usalama wa taifa letu. vinginevyo niliyoyasema mtakuja kuyakumbuka while its too late.[/h]