'Jamani hatujachakachua michango ya mazishi ya KANUMBA'-MTITU

anyway mil 50 wametumiaje? kwa lipi hasa, kukodi gari na kuchonga jeneza? kuna watu wamewasfirisha kutoka nchi za nje au? kwani hata msiba umetokea dar na mtu kazikwa dar hiyo cost imetumika kwa lipi?
 
kuna jamaa alitoa gunia 32 za mchele...naikisa hakuna hata moja lililofika msibani...mtitu na luge wanajua yalipo mpaka sasa....
 
kwanza serikali ilisema itagarimia mazishi...sasa gharam za hawa jamaa hizi gharam zinatoka wapi? ngoja nimwambie sugu alivalie njuga hili huko mjengoni kwa waziri wa michezo na utamaduni....
 
hahahah,dah umenikumbusha kwel bhana gvt iliucka na mcba
 
kuna jamaa alitoa gunia 32 za mchele...naikisa hakuna hata moja lililofika msibani...mtitu na luge wanajua yalipo mpaka sasa....

dah,EDson
mchele labda ndo msos walokula wa0mbolezaji!
 
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya Kanumba Mtitu G,amesema kuwa wao hawajachakachua pesa na michango mbalimbali iliyotolewa kwa ajili ya msiba wa Kanumba.
MTITU amesema kuwa kamat yake ilianza ikiwa haina hata sh 100,hivyo ilianza kwa gharama za wajumbe,
amesema kuwa jumla ya sh mil 70,502,000 walikusanya,na 52,102,000 wametumia,
pamoja na matumiz mengine,MTITU anasema pesa iliyobaki ni shiling milioni 4 na wamempa mama K the Great.....
Pia amesema Kanumba hajaacha mil 700 kama inavyodaiwa.
Sosi:HABAR LEO

Sasa mil 70 ukitoa 52 zinabaki mil 4?
 
Mazishi ya 52 million waombelezaji walikuwa wanalipwa pesa ya kuomboleza; walikusanywa kwa gharama za kamati au walienda peke yao?. Anyway kwa wingi wa watu kama kulikuwepo vyakula na vinywaji ......lakini bado ni nyingi
 
ndicho walichokita, Kanumba ameondoka (R.I.P),
walivaa masuti makubwa, miwani mweusi, kumbe wanaficha njaa zao,
hiyo hela watatumia itakwisha tu,
aibu hii wataipeleka wapi,
 
msiba ungesafrishwa je?ingekua mil mia
 
ndicho walichokita, Kanumba ameondoka (R.I.P),
walivaa masuti makubwa, miwani mweusi, kumbe wanaficha njaa zao,
hiyo hela watatumia itakwisha tu,
aibu hii wataipeleka wapi,

labda wameingza kwenye gharama za coverage ya matangazo ya Clouds media
 
Tunataka kujua, mchanganuo, mfano:-
1. Kaburi lilichibwa kwa sh ngapi?
2. Jeneza lilinunuliwa sh ngp?
3. Waliaji au wanachoir walipewa sh ngp? etc
 
YANI RUGE NA REDIO YAKE NJAA KALIWAO KILA KITU KWAO NI DILI
ULE MSIBA WAO NDIO WAKACHUKUA JUKUMU LA KUUPA COVERAGE YOTE KWA KIAI KIKUBWA VILE HATA BILA KUSHAURIANA NA KAMATI AU FAMILIA YA MAREHEM,
MSIBA ULIPOISHA TUH MBIO MBIO WAKAIFUATA KAMATI YA MAZISHI KUDAI MAMILION YA PESA,,ETI YA GARAMA YA COVERAGE,
MBILI WAKAANZISHA MCHAKATO WA KUPRINT MASHATI YA TANZIA YA MAREHEM BILA KUWAPA TAARIFA KAMATI WALA FAMILIA NA KUANZA KUUZA KWA 15ELFU KILA MOJA NA WAKAPGA PESA SANA,HAD WATU WALIPOHOJI NDIO KAMATI NA FAMILIA IKAZUIA,
ILE TENDA YA CHAKULA MSIBANI KIPIND CHOTE CHA MSIBA RUGE KAISHOBOKEA NA KUMPA MKEWE BILA KUSHAURIANA NA YOYOTE BAADAE AKAJA KUDAI MAMILION YA PESA UTADHAN ALIJUA KUA MAREHEM ANAKUFA SOON NAYEYE KUJIANDAA NA MAMBO YOTE YALE..!
MBONA NJAA ZAO HII REDIO ZINAWATOA UTU??
YANI WAO KILA KITU KWAO DILI??MALARIA NI UGONJWA WAO WAKATUMIA UDANGANYIFU KUIPATA ILE TENDA KWAO ILI IWE DILI..!
******* nyie Zama Zenu zimefikia mwisho sasa na njaa zenu
MNAPENDA SANA PESA ZA BURE MUTAGONGWA MASHINEEE....!!

Hawa ndo walivyo na cjui kifo chao nani atawashobokea? Isitoshe redio yenyewe iko mbioni kufa na ccm, bathday ya mkuu wa kaya hawamfanyii tena baada ya kuona hailipi?
 
Kwa mujibu wa Habari Leo

Tshs 70,502,000 walikusanya
Tshs 52,102,000 wametumia(bila kusema wametumia vipi)
Tshs 18,400,000 zilitakiwa kubaki
Tshs 4,000,000 kapewa mama mfiwa
Tshs 14,400,000 wamekula wao

inahuzunisha sana
 
YANI RUGE NA REDIO YAKE NJAA KALIWAO KILA KITU KWAO NI DILI
ULE MSIBA WAO NDIO WAKACHUKUA JUKUMU LA KUUPA COVERAGE YOTE KWA KIAI KIKUBWA VILE HATA BILA KUSHAURIANA NA KAMATI AU FAMILIA YA MAREHEM,
MSIBA ULIPOISHA TUH MBIO MBIO WAKAIFUATA KAMATI YA MAZISHI KUDAI MAMILION YA PESA,,ETI YA GARAMA YA COVERAGE,
MBILI WAKAANZISHA MCHAKATO WA KUPRINT MASHATI YA TANZIA YA MAREHEM BILA KUWAPA TAARIFA KAMATI WALA FAMILIA NA KUANZA KUUZA KWA 15ELFU KILA MOJA NA WAKAPGA PESA SANA,HAD WATU WALIPOHOJI NDIO KAMATI NA FAMILIA IKAZUIA,
ILE TENDA YA CHAKULA MSIBANI KIPIND CHOTE CHA MSIBA RUGE KAISHOBOKEA NA KUMPA MKEWE BILA KUSHAURIANA NA YOYOTE BAADAE AKAJA KUDAI MAMILION YA PESA UTADHAN ALIJUA KUA MAREHEM ANAKUFA SOON NAYEYE KUJIANDAA NA MAMBO YOTE YALE..!
MBONA NJAA ZAO HII REDIO ZINAWATOA UTU??
YANI WAO KILA KITU KWAO DILI??MALARIA NI UGONJWA WAO WAKATUMIA UDANGANYIFU KUIPATA ILE TENDA KWAO ILI IWE DILI..!
******* nyie Zama Zenu zimefikia mwisho sasa na njaa zenu
MNAPENDA SANA PESA ZA BURE MUTAGONGWA MASHINEEE....!![/QUOT

Wakuu tuwaachie VINEGA suala hili.
 
hawa kina Mtitu Game hata kudanganya hawajui .... wanasema eti kanumba alikuwa masikini ...dah....
 
Back
Top Bottom