ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 8
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta mwanamke alokuwa serious maana hataki kupoteza mda, na ww unaetokewa haupo katika mahusiano kwa takriban miaka 3 na unajipa moyo na kufurah kuwa ukiloliomba siku zote limetimia, mnakuwa pamoja kama 6 months hivi, then anakuambia yule mpenzi ambae alikuwa hataki kurudi amepiga cm kwao kuwa atarudi kabla ya January na kwao wanaleta salaam upande wa huyo kijana kuwa waliongea na binti na kakubali kurud, na huyu kaka anakuja kwa ww mpenzi mpya na anakuambia yote yaliyojili na mbaya zaid huyo mchumba anaekuja ni mchumba ndugu yani dada binamu, wakati huohuo ww unampenda sana na hapo nyuma kabla hujawa na ukaribu nae zaidi mlishaenda clinic kutest hiv na hiyo yote mlifanya kwa malengo ya kuingia katika mahusiano ya kudumu,
Kwa bahati mbaya pia umeshika ujauzito una kama mwezi mmoja tu ukitaka suluhu ya hili anakushauri mfunge ndoa ya siri kana kwamba tayari alishaoa! Unakabiliana nayo vp hali kama hii? Na je hapa mapenzi yalikuwepo au? Ata hivo bado anaonyesha ana upendo na ww na wakati huohuo anaonesha ana upendo na dada binam kwa kuona sms wanazotumiana! Comments zenu muhimu sana jamani karibun tuchangie mada
Kwa nini hukuomba ushauri kabla hujaanza mapenzi na huyo jamaa? Maji yashamwagika ndo unakuja tufanyeje sasa? Ulimwamini vipi asemayo kuwa ni kweli?
Anyway, maswali yangu hayasaidii kwa sasa , ila unamaudhi sana wewe dada. Cha msingi fikiria dhamira yako inataka nini, kama ni kubanana basi banana naye, vinginevyo achana naye, endelea na maisha maana ushalikoroga tena. Imekula kwako hiyo.