Jamani hamjambo? Leo napenda tu kuwasalimia.

sasa ndo nakukaribisha. Mshukuru mod kwa kukuweka pazuri, ulikuwa umepotea njia.
 
Hata usipoitikia salaam,hakuna neno. Dawa ya babu wa Loliondo inatibu kwa uhakika? Wewe uliyeinywa unashaurije?
 
Back
Top Bottom