Jamani Gari hili la mwaka gani? Ninaliuza kwa mwenye kutaka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
IMG2012082200358.jpg


Hili Gari lipo katka good condition ninaliuza shilingi million 5 Tanzania shilingi kwa mwenye kutaka awasiliane na mimi Mzizimkavu.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
unauliza ni ya mwaka gani halafu unauza. sasa kama mtu akikuhoji particula zake utajibu nini wakati hujui
 
Mkuu Achahasira na hilo behewa la Treni ninaliuza shilingi Millioni 1 kwa mwenye kulitaka...............anione mimi.


attachment.php
 

Attachments

  • Train ya unguja hiyooooooooo.jpg
    Train ya unguja hiyooooooooo.jpg
    81.6 KB · Views: 821
unauliza ni ya mwaka gani halafu unauza. sasa kama mtu akikuhoji particula zake utajibu nini wakati hujui
Mkuu ntamaholo mimi sina shida ya kujuwa hilo Gari particula zake mnunuzi ndie atakae jua kila kitu mimi shida yangu ni pesa tu.

uza scrap utapata
Mkuu MadameX ni kweli nikiuza hayo Ma Scrap nitapata pesa si unajuwa mjini ni shule?
 
Last edited by a moderator:
Hili litakuwa ni Limousine muundo wa tipper la kwaka 1992. Hiyo bei ni negotiable?
Mkuu Genecius Tukikubaliana hata kwa shillingi Million 4 na laki tano nipo teyari nitakupa.Gari linayo Garranti ya muda wa siku moja tu tangu uliponunuwa nikikubidhi ukiondoka kwangu Garranti imekwisha Expire mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Haha ha ha.... mkuu naona unaleta utani kwenye biashara.
mkuu Sunshow Sileti utani kwenye Biashara sasa jamaa anasema chuma wakati anaona kwa macho yake kuwa ni Gari ? au unaonaje chuma au gari? hebu angalia gari zingine hizi pia ninauza.... Bei maelewano pia.
chagua wewe mwenyewe unayoitaka moja kati ya hizi........


attachment.php




attachment.php
 

Attachments

  • Gari nzuri kabisa Austin.jpg
    Gari nzuri kabisa Austin.jpg
    40.6 KB · Views: 808
  • mwaka baada ya mwaka.jpg
    mwaka baada ya mwaka.jpg
    57.9 KB · Views: 830
Last edited by a moderator:
mkuu Sunshow Sileti utani kwenye Biashara sasa jamaa anasema chuma wakati anaona kwa macho yake kuwa ni Gari ? au unaonaje chuma au gari? hebu angalia gari zingine hizi pia ninauza.... Bei maelewano pia.
chagua wewe mwenyewe unayoitaka moja kati ya hizi........


attachment.php




attachment.php
enzi hizo ukiwa nay haya wewe mtu kati ya watu na mnakuwa nayo machache lakini siku hizi kila mtu ana gari mpaka ya maboksi yapo kibao.
 
Kuna watu wanapenda kutunza magari mabovu! Hata liwe bovu kiasi gani analitunza tu miaka! Bora wangekuwa wanawauzia vyuma chakavu labda wizi wa mifuniko ya mitaro barabarani ungepungua.
 
Back
Top Bottom