Elections 2010 jamani eti kweli mbowe kamfunika slaa na yy atagombea urais cdm 2015?

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
nilipata bahati kukaa karibu na viongoz wa cdm juzi arusha waliokuwa wakimshangilia mbowe ndipo jose aliekuwa amevalia koti la jinsi mita tate toka aliposimama mbowe akasema 'lazima tuhakikishe mbowe anakuwa mgombea wetu cdm uraisi 2015 mkakati ushaanza' nawasilisha wadau
 
Mbowe hana mvuto wa Urais na hawezi kushinda Urais Tanzania.Kama atagombea,agombee tu lakini chadema wasubirie maumivu.Na hii itawarahisishia sana CCM kupata ushindi bila kutoka jasho!
 
Mh, nina wasiwasi na maelezo yako, unataka kuchonganisha. CDM huwa wanafanya utafiti kwanza kabla ya kumtaja mgombea uraisi, siyo sawa na CCM.
 
Hey lets focus kwenye mambo ya msingi sasa hivi.Acheni majungu na fitna na uchokonozi hayo yataamuliwa na vikao halali na si maneno ya kwenye vijiwe vya ghahwa na kashata.Hayo waachieni CCM.Peoooples power.
 
nepi amewatuma mje mzungumze hayo? Wewe mleta mada umezawadiwa desctop ndo maana unaanzisha vitu visivyo kuwa na miguu. Chadema kila mtu ni malufu wewe unazania ni ccm? Wanao mtegemea kikwete tu?
chadema kuanzia members mpaka viongozi wote ni maalufu, hata akisimamishwa diwani mmoja kutoka kule mwanza kugombea kwa tiketi ya chadema bado ataungwa mkono tu. Na hata akisimama mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya chadema atashinda tu. Chadema c kama tlp au udp ambao wale viongozi wao wakiondoka na vyama ndo itakuwa mwisho wao. Na hata ccm akiondoka mzee kijana mmekwisha.

mtumie bwana yako nepi haya maelezo mafupi
 
nilipata bahati kukaa karibu na viongoz wa cdm juzi arusha waliokuwa wakimshangilia mbowe ndipo jose aliekuwa amevalia koti la jinsi mita tate toka aliposimama mbowe akasema 'lazima tuhakikishe mbowe anakuwa mgombea wetu cdm uraisi 2015 mkakati ushaanza' nawasilisha wadau


@Tumaini letu, wewe na mabosi wako mnaweza kutumia hili jukwaa kama source ya ideas kufufua chama chenu, au mnaweza kuendelea na UMBEA kama huu unaoleta hapa. Lakini kaa mkijuwa, kati ya mambo yaliyoifikisha ccm hapo ilipo ni umbea, fitna na unafiki. The choice is yours!
 
Mwanachama au wanachama flani wanaweza kuwa na wazo hilo lakini sio cdm kama chama, cdm kitapata mgombea wake kwa taratibu na tafiti wala sio kwa mpangilio kama wa magamba
 
Mh, nina wasiwasi na maelezo yako, unataka kuchonganisha. CDM huwa wanafanya utafiti kwanza kabla ya kumtaja mgombea uraisi, siyo sawa na CCM.

Join Date : 6th May 2011
Posts : 151
Thanks 0Thanked 10 Times in 6 Posts

Rep Power : 21


Angalia tarehe aliyojiunga ni vijana wa Nape at work.
 
Hayo ndo majungu, kwani alipogombea dr. slaa, mbowe si alikuwepo. shindwa na ulegee.
 
Join Date : 6th May 2011
Posts : 157
Thanks
0
Thanked 10 Times in 6 Posts
Rep Power : 21

kweli nape katuma vijana
 
Ujinga, katika tafsiri zake. Mvuto ndio kigezo cha rais bora ! Upumbavu umewajaa, nyie ndio wale mliotuletea kikwete mkatuambia anasura ya ujana anafaa kuwa rais ! Ujinga wenu umegharimu taifa.Eti mvuto . . .
 
Back
Top Bottom