jamani! Email yangu mbona hivi tena!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,296
13,244
wataalam naombeni msaada kwa hili.toka juzi nikifungua gmail ili nianze kuandika email yangu,nikianza herufi ya kwanza tu,email yangu yote inatokea,pamoja na password yake!sasa hii naona ni hatari kwangu,nataka,nataka email tu ndio iwe inatokea sio na password.nifanyeje?
 
Tatitizo hapo ni kwamba wakati unalogin ulitick kile kicheck box ambacho kimeandikwa Stay signed in ndo maana unapotype herufi ya kwanza tu email yote inaonekana na password pia inaonekana vile vidotidoti kwa hiyo kazi yako inakua moja tu kuclick sign in. Ili kuondokana na tatizo hilo just clear the history browser kwa kufanya yafuatayo.Fungua internet explorer au mozila km unatumia mozila then click Tools, utapata option ya delete browsing history ambayo ndo option ya kwanza baada ya kuclick tool. Baaada ya hapo itakuletea prompt yenye vitu kibao wewe usijali just click button ya delete. Baada ya hapo ukirudi kulogin kwenye hiyo gmail kila kitu kitakuwa sawa BUT REMEMEBER TO UNTICK THE CHECK BOX ile ya Stay signed in
 
natumaini unatumia mozilla. wakati ndio unalogin for first time kuna ka window kalitokea kakasema 'remember password in this computer' kuna option never,not for now au ok. nahis wewe ulijibu ok,so after clearing all the histories (cntl + D),restart browser yako then ikija iyo option sema never
 
Ila kama ni personal computer si mbaya kama ikakumbuka maana inaserve time ila kama ni ya public i command isikumbuke password yako.
 
Back
Top Bottom