mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 821
- 1,342
Hivi sisi watanzania tutaendelea lini jamani,nawapongeza Tume ya sayansi na mawasiliano kuweka mazingira mazuri ya watu wa IT kufanya kazi zao,pia kuna access free ya internet wireless,sasa kuna hawa wabongo wanakuja na kuichezea mara wazime access point mara wa connect direct katika computer zao,yaani wamejisahau imewekwa pale itumike na watu wote wanaotumia ile innovation space naomba tuheshimu taratibu na mamlaka jamani tujiheshimu japo kidogo ......haya wanaconnect hivo uliza wanafanya nini....ni kudownload movies na wakimaliza on top of that wanaplay hapo hapo hizo movie wanaanza kuangalia pashageuzwa cinema show sasa.....hivi jamani tunakasoro gani sisi weusi?
Ujinga sisi,vita sisi, umaskini sisi.....hebu jamani endeleeni kidogo basi.....sawa sikatai wewe kuangalia movie vaa headphones basi sikiliza mwenyewe watu wanafanya kazi hapo........! Nawasilisha hebu tubadilike:director: