Jamani ebu tazama picha ya huyu babu, unaweza kufika hapo?

ninge kuwa ni Rais wa Tz hii ningefungua kituo cha kutunza wazee nawapa na TUZO kufikia umri mkubwa
 
Mkuu usione kapinda ukahisi ana miaka mi aka 100 loh huyo unaweza ambiwa hata 55 ajafika ni maisha yamempiga kabendi mapema infact naomba usiombe ufike miaka mingi sababu ya mtu fulani uwezi kujua ameishi kwa mateso gani hata kama ni babu yako ukiingia line ati kisa kafika 90 unasema mungu nisaidie niwe kama babu ndio pale unakuta bibiyako aliachwa akiwa na 45 akaletwa mwingine akaachwa akiwa na 60 akaletwa mwingine akafa nae akiwa na 90..we ukija kuwa malaya utamuuliza mungu nimepata wapi hii roho ya uzinzi???wakati umeiomba mwenyewe ...kuwa makini unaweza omba mungu akupe 70 yrs ya mtu aliekuwa clean aijalishi si ndugu yako ila unamjua na ukaishia kuishi maisha mazuri kama ezekiel
 
Huyu Jamaa kipindi Cha Uongozi wa Mzee Ben,alikuwa kijana bonge la Handsome,baada ya kuingia ******,jamaa maisha yakawa Magu na kuanza kuishi kwa Taabu na mawazo ya kutafuta Ridhiki yakaanza kumtawala,mwisho wa siku akawa Ombaomba na kupinda Mgongo..Kweli ****** ni Noma,hana huruma na wananchi wake....
 
ki ukweli namuonea huruma.sometimes,bora nijifie mapema tu.kuliko unazeeka na dhiki juu,wa kukusaidia huna,unabaki uzee wa mateso.
 
Babu yangu alifariki mwaka 1990; akiwa na umri wa miaka tisini na hakupinda mgongo.
Kupinda mgongo wakati mwingine husababishwa matatizo ya mifupa 'uti wa mgongo'
 
:poawaheshimu baba na mama yakoupate kuwa na miaka mingi katika nchi uliyopewa na Bwana Mungu wako!
 
Back
Top Bottom