Jamani duniani kuna mambo!! Hii imenitokea

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,621
2,015
Habari zenu wanajukwaa,
Kuna rafiki yangu wa kike ambaye nafanya naye kazi katika kampuni moja hapa jijini ametokea kunipenda ghafla, japo sikuwahi kufikiria kama siku moja angetokea kunipenda maana namheshimu. Ilianza hivi, aliniomba namba ya simu nikidhani ni kwa nia nzuri ya mawasiliano hapa kazini,baadaye akanitafuta facebook. Ikafika hatua akanifahamisha anapoishi na siku moja akaniomba nimpitie. Nilipofika, akanisalimia kwa uchangamfu, then akanikumbatia akawa hataki kuniachia. Akaanza kunifnyia vituko vingi vya kunipagawisha nikiwa nimepigwa butwaa. Mwisho wa yote akaingia chumbani akaja na condom, akavua nguo mbele yangu huku akiwa amefunga mlango na kuutoa ufunguo na tukadoo ile kitu.

baada ya pale akanisihi sana mapenzi yetu yawe ya siri sana tusimwambie mtu. Baada ya wiki mbili, shosti yake anayefanya naye ofisi moja (section moja) akaanza kunichangamkia kupita kawaida. Akaanza kunipigia simu, mara facebook, mara msg etc. Alipoona mimi sishtuki akawa anakuja ofisini kwangu na kujiachia achia sana. mwishowe akaamua kusema lililo moyoni mwake kuwa ananitaka tuwe wapenzi. Nikasita kwa sababu najua ana mtu wake tena amezaa naye. Akasema hiyo siyo sababu, anachotaka penzi langu.

Nilipobisha akaniambia mbona wengine nawapa, kwa nini nimnyanyapae yeye? Nikashtuka kuliko kawaida. Nikawa mpole nikaanza kumpeleleza akasema umetembea na mwanamke gani hapa kazini? Nikagundua kitu. Nikamwambia mtaje akagoma. Nikamtishia kiaina, baadaye akasema, "Umetembea na ........ unabisha?" Nikawa kama vile nimenyeshewa na mvua. Nikamwuliza umejuaje? akasema mwenyewe kanisimulia tena kwa mbwembwe, sasa wewe unaninyima nini?

Kwa ufupi, nimechanganyikiwa najuta na roho inaniuma, nawaza nianze wapi kuliondoa hilo sooo? Nikimtolea nje huyu shosti mtu sijui atanifanyia nini, lakini na yeye pia amenisihi nisimwambie kama yeye ndo kaniambiaa hiyo habari. Pili najiuliza huyu shosti mtu anataka nini kwangu, ananijaribu tuu? au mwenzake alinisifia kwake na yeye anataka kuonja muziki wangu? Na je nikimkatalia itakuwaje? Nikiwaza kumgombeza yule wa kwanza naona ndo nitakuwa nimeharibu kabisa maana wataanzishiana bifu wenyewe kwa wenyewe, na pia kwangu.

Hebu nipeni ushauri jamani
 
Baadae utatembea na wafanyakazi wote kwenye hiyo kampuni na ukimega kidosho cha bossi kazi huna
 
Mbona kawaida tu na rahisi kuepukana nao, kama huyo # 2 humtaki achana mtolee mbele endelea kummega # 1 lakini nitakuona wa maana kama utawatema wote. Hao wanataka kutembea na wewe ili kuonyeshana si unajua masistas wa mujini hasa ikiwa wengine wana watu wao unajitia hatiani.
 
Inaonyesha huduma yako ilikuwa beyond human being limit,ulimpa mambo gani sana mpaka akahadithie????????
 
mmm kaka unavituko wewe sasa kama na yeye anataka mpe tu kwani uliwezaje kumkubalia yule wa kwanza na huyu umkatalie na ametumia mazingira hayo hayo kukutafuta.SASA ILIYOBAKI UJIHESHIMU SIO KIGAWA GAWA TU
 
Habari zenu wanajukwaa,
Kuna rafiki yangu wa kike ambaye nafanya naye kazi katika kampuni moja hapa jijini ametokea kunipenda ghafla, japo sikuwahi kufikiria kama siku moja angetokea kunipenda maana namheshimu. Ilianza hivi, aliniomba namba ya simu nikidhani ni kwa nia nzuri ya mawasiliano hapa kazini,baadaye akanitafuta facebook. Ikafika hatua akanifahamisha anapoishi na siku moja akaniomba nimpitie. Nilipofika, akanisalimia kwa uchangamfu, then akanikumbatia akawa hataki kuniachia. Akaanza kunifnyia vituko vingi vya kunipagawisha nikiwa nimepigwa butwaa. Mwisho wa yote akaingia chumbani akaja na condom, akavua nguo mbele yangu huku akiwa amefunga mlango na kuutoa ufunguo na tukadoo ile kitu.

baada ya pale akanisihi sana mapenzi yetu yawe ya siri sana tusimwambie mtu. Baada ya wiki mbili, shosti yake anayefanya naye ofisi moja (section moja) akaanza kunichangamkia kupita kawaida. Akaanza kunipigia simu, mara facebook, mara msg etc. Alipoona mimi sishtuki akawa anakuja ofisini kwangu na kujiachia achia sana. mwishowe akaamua kusema lililo moyoni mwake kuwa ananitaka tuwe wapenzi. Nikasita kwa sababu najua ana mtu wake tena amezaa naye. Akasema hiyo siyo sababu, anachotaka penzi langu.

Nilipobisha akaniambia mbona wengine nawapa, kwa nini nimnyanyapae yeye? Nikashtuka kuliko kawaida. Nikawa mpole nikaanza kumpeleleza akasema umetembea na mwanamke gani hapa kazini? Nikagundua kitu. Nikamwambia mtaje akagoma. Nikamtishia kiaina, baadaye akasema, "Umetembea na ........ unabisha?" Nikawa kama vile nimenyeshewa na mvua. Nikamwuliza umejuaje? akasema mwenyewe kanisimulia tena kwa mbwembwe, sasa wewe unaninyima nini?

Kwa ufupi, nimechanganyikiwa najuta na roho inaniuma, nawaza nianze wapi kuliondoa hilo sooo? Nikimtolea nje huyu shosti mtu sijui atanifanyia nini, lakini na yeye pia amenisihi nisimwambie kama yeye ndo kaniambiaa hiyo habari. Pili najiuliza huyu shosti mtu anataka nini kwangu, ananijaribu tuu? au mwenzake alinisifia kwake na yeye anataka kuonja muziki wangu? Na je nikimkatalia itakuwaje? Nikiwaza kumgombeza yule wa kwanza naona ndo nitakuwa nimeharibu kabisa maana wataanzishiana bifu wenyewe kwa wenyewe, na pia kwangu.

Hebu nipeni ushauri jamani

Umetokelezea! lol. Hao masista wanakuchora ndugu yangu, wambie hutaki.
 
SIPIYU30 Kisa chako kimenifurahisha lakini pia kimenipa fundisho maana hata mimi hapa kazini nna mtihani kama wako,kila mmoja naona anakuja kwa muda wake wanajichekeshachekesha,kumbeeeeee ukimmega mmoja wanaambianaaaaaaaa

NIMEJIFUNZA KITU KUTOKA KWENYE HII STORY YAKO.Ndio maana naipenda Jamii Forums.
 
kwa ufupi, nimechanganyikiwa najuta na roho inaniuma, nawaza nianze wapi kuliondoa hilo sooo? Nikimtolea nje huyu shosti mtu sijui atanifanyia nini, lakini na yeye pia amenisihi nisimwambie kama yeye ndo kaniambiaa hiyo habari. Pili najiuliza huyu shosti mtu anataka nini kwangu, ananijaribu tuu? au mwenzake alinisifia kwake na yeye anataka kuonja muziki wangu? Na je nikimkatalia itakuwaje? Nikiwaza kumgombeza yule wa kwanza naona ndo nitakuwa nimeharibu kabisa maana wataanzishiana bifu wenyewe kwa wenyewe, na pia kwangu.

Hebu nipeni ushauri jamani

We kaka kwani ni lazima kila mwanamke anaejirahisi kwako umvue c***? ...chagua moja tafuta mke oa achana na tabia hatarishi, hii dunia ipo na vituko vyake wala visikushangaze.
 
Back
Top Bottom