Jamani, Diwani huyu vipi, Machangu wapewe Leseni?

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Usipo ona ya Musa utaona ya firauni.Nilishasema,na narudia tena,watanzania tumekwisha, maana tumeshapoteza uwezo wa kujua mema na mabaya kabisa.Ni Diwani,tena aliyechaguliwa na watu,ili awaletee maendelea yao,halafu anakurupuka na kusema machangudoa wapewe leseni kwa vile wataliingizia taifa mapato. Anashindwa hata kujua kwamba hela za machangudoa ni hela chafu, kama zilivyo hela za mafisadi tunaowapigia kelele leo kwa nguvu zetu zote.Diwani anayeshindwa kujua kwamba umalaya ni uwovu mbaya sana katika jamii,ambao kama haukudhibitiwa unaiingiza jamii husika katika laana isiyozungumzika.Hao ndio viongozi tulio nao, mbumbu,wenye mawazo yaliyofirisika.
 
Tunaomba utupatie habari kamili ili tufaidike. Mathalan,

>> Diwani wa wapi
>> Jina lake
>> Chama chake
>> Aliyoyasema ameyasema wapi (mathalan kijiweni, ktk mkutano wa hadhara n.k)

Shukran
 
Mwaka 2008 mtu alikuwa analeta uzi mwepesi namna hii.

Kumbe kipindi hiki tunavyowalalamikia BAVICHA na "viroba" vyao tunawaonea!
 
Back
Top Bottom