Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.
MKUU WA KAYA hii ya kwako kiboko so to you mnato ni ule mtindi unaokaa kunako na wala siyo sunction force?
 
Last edited by a moderator:
Saaafi kabisa!, kumfeel huyo person pia ni muhimu sana, ukido na mtu ambaye humfeel, hata akitumia utaalam gani, unaona anakubore tu
Mimi naweza sema, fulani nampenda kuliko fulani!

Na kwa ninaye mpenda love making inakuwa tamu. Maumbile ya sex organ hayahusiki sana, ingawa huge inaumiza; ndogo kama mwenye nayo anajua kuitumia haina shida. Kwangu kumpenda ndiyo determinant
 
Saaafi kabisa!, kumfeel huyo person pia ni muhimu sana, ukido na mtu ambaye humfeel, hata akitumia utaalam gani, unaona anakubore tu

sasa Doreen22 hapo kwenye kumfeel mtu, hivi waweza kufanya mapenzi na mtu pasi kuwa yuko kumoyo? unless umebakwa ama umejibakisha. But just unataka kumake love sidhan kama ni possible kufanya na usiye mfeel..
 
Last edited by a moderator:
sasa Chimunguru umesema mengi sana hapa ila kwenye ule mzizi wa swali langu kuna tofauti kweli eti mwanamke huyu ni mtau na huyu siyo mtamu and kwa wanaume pia? kwani kama mtu akikufikisha at climax utasema orgasm hii ilikuwa nzuri kuliko hii hivi kweli kuna hiyo tofauti?

Tofauti ya utamu inajengwa na hisia zako mwenyewe! fikiria mimi nnayependa mwanamke halisi wa kibantu, mwenye makalio ya haja, mguu wa bia sura nzuri eeenh! nikiwa na mwanamke wa dizaini hii kwa kweli siku hiyo mpini wangu utataka hata kukatika kwa mcheche, ntajiona nimepata kitu cha uhakika na kweli kutokana na imagination basi sex itakuwa supa. nilishawahi kuwa na demu wa kawaida sana tu alinipenda sana tena sana lkn sikuwa na future naye coz hakuwa na features nazozipenda.
Hata wale wanaopenda wanawake wembamba wanasisimka zaidi wakimpata yule anayekidhi imagination zao game linakuwa barabara na kuona utamu zaidi. Wanaume wengi tukiwa vijiweni kwetu utasikia jinsi wanaume wanavyo imagine akiwa na mwanamke wa dizaini flani jinsi atakavyojituma, au style gani atatumia na kuonesha jinsi ndoto zinavyojenga hisia za binadamu. Hata Wanawake utasikia napenda mwanaume mrefu, labda mweusi, ikitokea ampate wa dizaini hiyo anayomtaka basi game litakuwa limeshachezwa nusu mengine ni kumalizia tuu kunako 6*6.
 
ni kweli kuna mwanamke mtamu na ambaye sio mtamu.! Kwa muono wangu ni kwamba, Mwanamke mtamu ni yule ukizama kunako chumvini kuna ka-umoto moto flani kanakuunguza uumeni pia mnato wa ukweli, hapo utapata raha flani hadi unapofika kileleni utamu unakuwa ni nooma! Lakini kuna wadada wengine kunako kumepoa sana tena pako chepechepe hapo ndio nahisi kuwa hapana utamu.! Japo nimepata maujanja toka Uhayani ya ku-drill water from clits lakin bado cjapata utamu ule niupatao kwa niliyemwelezea mwanzo.! Ni mtazamo wangu tu jamani
 
sasa Chimunguru umesema mengi sana hapa ila kwenye ule mzizi wa swali langu kuna tofauti kweli eti mwanamke huyu ni mtau na huyu siyo mtamu and kwa wanaume pia? kwani kama mtu akikufikisha at climax utasema orgasm hii ilikuwa nzuri kuliko hii hivi kweli kuna hiyo tofauti?

KUhusu Climax zinatofautiana sana sijui wengine lkn kwangu kuna style hazinisisimui kabsaa na kusababisha climax isje na preshaaaaaaaa inabubujika km bomba bovu la dawasco, lkn kuna style nyingine ukitengewa mwana daaaaaaaaaaaaahn we acha tuu unavunja koki. Au mko kunako 6*6 unataka kufanya kitu flani mwenzio anaona aibu, au anaanza visingizio kweli hata mhemko hautakwepo tena. Ushawahi piga game mpaka ukatokwa na vipele km vya baridi mwili mzima? dah nnayo mengi ngoja niache hapo hapo
 
Mhesimiwa kuna wengine wanado na majibaba na majimama wenye pesa au mabosi wao ili waboreshe tu maisha yao, anakuwa hampendi hata kidogo, pesa tu ndio zinampeleka kwa huyo mtu, si unajua kuna watu hata elimu yao wameipata kutokana na mashugadadi au watu ambao wanatoka nao ili wafanikiwe, mtu analipiwa ada toka o level mpaka Chuo, na wengine hata wazazi wao wanakuwa wanafahamu, ila umaskini unakuwa umewazidi
sasa Doreen22 hapo kwenye kumfeel mtu, hivi waweza kufanya mapenzi na mtu pasi kuwa yuko kumoyo? unless umebakwa ama umejibakisha. But just unataka kumake love sidhan kama ni possible kufanya na usiye mfeel..
 
Last edited by a moderator:
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.

wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli? mathalan utaskia wakaka wengi wakidai demu fulan mtamu sana sasa mimi hapa huwa nashindwa kuelewa kitu kwani extent ya pleasure unayoipata wakati wa climax inatofauti from one person to another?

na je kwa wadada eti kuna tofauti kweli kati ya mkaka na mkaka katika kutoa raha provided kuwa orgasm utaifikia?

Ladha/utamu huonjwa na ulimi. U.b.o.o au k.u.m.a inaweza tu kusensi pleasure.
 
ni kweli kuna mwanamke mtamu na ambaye sio mtamu.! Kwa muono wangu ni kwamba, Mwanamke mtamu ni yule ukizama kunako chumvini kuna ka-umoto moto flani kanakuunguza uumeni pia mnato wa ukweli, hapo utapata raha flani hadi unapofika kileleni utamu unakuwa ni nooma! Lakini kuna wadada wengine kunako kumepoa sana tena pako chepechepe hapo ndio nahisi kuwa hapana utamu.! Japo nimepata maujanja toka Uhayani ya ku-drill water from clits lakin bado cjapata utamu ule niupatao kwa niliyemwelezea mwanzo.! Ni mtazamo wangu tu jamani

sasa wewe mkuu @ihomela umenifundisha kitu hapa kuwa kuna mtu naturaly ni mtamu lakin labda oragsm uakayofikia kwa yule mwenye moto na kwa yule asiye na moto zinatofauti?
 
KUhusu Climax zinatofautiana sana sijui wengine lkn kwangu kuna style hazinisisimui kabsaa na kusababisha climax isje na preshaaaaaaaa inabubujika km bomba bovu la dawasco, lkn kuna style nyingine ukitengewa mwana daaaaaaaaaaaaahn we acha tuu unavunja koki. Au mko kunako 6*6 unataka kufanya kitu flani mwenzio anaona aibu, au anaanza visingizio kweli hata mhemko hautakwepo tena. Ushawahi piga game mpaka ukatokwa na vipele km vya baridi mwili mzima? dah nnayo mengi ngoja niache hapo hapo

basi i would rather say Chimunguru kuwa kwa wanaume extent ya pleasure ni pronounced, sidhan kama kwa wanawake hii inaapply labda tuwaskie. but nimekupenda manake umeweza kunielezea nikaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Mhesimiwa kuna wengine wanado na majibaba na majimama wenye pesa au mabosi wao ili waboreshe tu maisha yao, anakuwa hampendi hata kidogo, pesa tu ndio zinampeleka kwa huyo mtu, si unajua kuna watu hata elimu yao wameipata kutokana na mashugadadi au watu ambao wanatoka nao ili wafanikiwe, mtu analipiwa ada toka o level mpaka Chuo, na wengine hata wazazi wao wanakuwa wanafahamu, ila umaskini unakuwa umewazidi

aisee! hili sikuwa nimelitazama katika engo hiyo nashukuru kwa kuniongezea wigo wa kutafakari. Kumbe leo nimejifunza kitu eeh!
 
basi i would rather say Chimunguru kuwa kwa wanaume extent ya pleasure ni pronounced, sidhan kama kwa wanawake hii inaapply labda tuwaskie. but nimekupenda manake umeweza kunielezea nikaelewa.

Vile vile kuna mitazamo tofauti kwenye 6*6, mimi nnapata utamu zaidi nikifanikiwa kumshawishi mwenzanu aniruhusu nishike pale nnapohisi yeye atasisimka au kupata raha zaidi, sihitaji sana kufanyiwa au kuda i nifanyiwe nini, napenda nitawale game labda na yeye aombe nafasi, msisimko wake (akifake ntajua) utachangia zaidi climax kuwa bab kubwa.
WANAUME wengine atataka yeye sasa ndo ashikweshikwe, mic itestiwe, akatiwe kiuno after 2 min game is over so kwa mwanaume ni suala la mtizamo wako nini kipo katika ndoto zako za sex!
 
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.

da!hii kali chafuchafu ndo tamu du!
 
Back
Top Bottom