Jamani dada huyu anasumbua!!!

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Ninamuda mfupi sana katika eneo nililohamia...hapa ni pahala pa wastaarabu sana, alinikaribisha kwa upendo sana nami nilimpokea na kumuelewa kama dada yangu wa dhati... ila mara nimechoka wangu,leo sijakuona, umechelewa leo....utapenda nikikufulia...jamani leo umependeza...utarudi sangapi...jamani ninunulie soda wangu....jamani unakaangisha vizuri...jamani nasikia mziki mzuri chumbani kwako...jamani wewe ni handsome..naomba nikufulie...nataka tupike pamoja siunajua kula mwneyewe hakishuki...Haya ni baadhi tu ya mabo ya vihoja yanayonikera...nisaidie... nimfanyaje huyu mtuuu na ujirani huu....

Aksanteni
 
uchunguzi wa fasta unaonesha WEWE ndio unamsumbua yeye. Manake huelewi signal. Acha usumbufu. Kama vipi mpe fact.
 
Huo ni upendo wa wapendwa, huelewi nini?

Kama hufurahii, mwambie, au ni memba hapa?
 
Ohoooooo utapewa ile nyama na utasahau kwenu. Chakufanya kama hutaki mbivu jifanye una ngoma na ukishindwa kuvumilia basi chana nyavu kwani hakuna jinsi wala godrai.
 
Msalimia sana...mwambie b52 namsalimia na namwomba akuache...
BTW...UKIMWI unaua
 
Niliwahi kukaa na wabotswana (1980s), wao kwao hilo ni la kawaida kwa msichana kumtongoza mvulana. Unajua kwao ni siku hizo idadi ya wanaume ilikuwa ndogo sana kulinganisha na wanawake (0.68 male(s)/female(s)), hivyo msichana ndiye mtongozaji tofauti na huku. Kwa jinsi population ya TZ ianvyozidi kubadirika (ratio), tumeanza kufikia mahali pa wasichana kuwa watongozaji. Hivyo usiyanshangae hayo anayokwambia. Jiulize ungekuwa wewe ndiye umempemda na unaanza kumtongoza si ungemwambia hayo anayokwambia? La msingi mpime uone hasa nia yake ni nini, uhuni tu au kuoana; halafu jipime mwenyewe kama uko tayari kwa hilo. Chunguza zaidi na fanya maamuzi
 
Ninamuda mfupi sana katika eneo nililohamia...hapa ni pahala pa wastaarabu sana, alinikaribisha kwa upendo sana nami nilimpokea na kumuelewa kama dada yangu wa dhati... ila mara nimechoka wangu,leo sijakuona, umechelewa leo....utapenda nikikufulia...jamani leo umependeza...utarudi sangapi...jamani ninunulie soda wangu....jamani unakaangisha vizuri...jamani nasikia mziki mzuri chumbani kwako...jamani wewe ni handsome..naomba nikufulie...nataka tupike pamoja siunajua kula mwneyewe hakishuki...Haya ni baadhi tu ya mabo ya vihoja yanayonikera...nisaidie... nimfanyaje huyu mtuuu na ujirani huu....

Aksanteni

Story za Kutunga peleka Ijumaa Wikienda au Kiu
 
Mkuu cha muimu, chapa kisela kama una niya naye. Inaonesha uyo dada ana kazi yakufanya so malanyingi anakuwaza wewe. mkuu kama umtaki mwambie ukweli asipoteze muda kwako.
 
Take care sana the one who love you the most sometime is the one who will hate you the most angalia usje ukaikimbia kodi yako na kama umejenga basi unaweza kuicha hiyo nyumba kuwa strong we ni mwanaume sio kila unachokiona unakula tu kama ni hotel za kichina unaeza kula hata nyoka.

take care!!!!!!!!!
 
Mwambie avae kimini alafu mpe kazi ya kudeki chini ya uvungu, wewe ukae kwenye kiti umtumie mbolilibo.
 
Back
Top Bottom