Jamani cm ya mkonnni inaleta balaa

mdida

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
1,607
772
wanajf habari za mchana pamoja na mihangaiko ya kila siku! wadau kuna dada mmoja leo asubuhi kaja nyumbani kwangu anasema wametofautiana na mpenzi wake ambae wamekaa nae kwa muda wa miaka miwili. nikamwuuliza kulikoni akaniambia eti huyu mpenzi wake ana tabia ya kumfungia cm pale anahitaji kumpigia. lakini anapomwuliza anasema kwa nn ulifunga cm anamwambia ni network. na hiyo ni mara ya tatu. akawasha moto kuwa huwa jamaa ana mambo yake ndo maana hataki usumbufu hivo anaamua kufunga cm. kwa kweli wadau ninashindwa kuelewa ni yupi alie anasema ukweli coz mwanaume anasema yeye hajafunga cm, bidada anasema hii khali inamkera sana. swali hapa je! inawezekana cm ikawa on lakini unapiga inakwambia mtaja hapatikani kwa sasa?
 
Inawezekana sana tu.

Mitandao wakati mwingine inazingua,kwahiyo mwambie asije akavuruga mahusiano yao kwa kitu kisicho na maana.
 
Labda anatumia mtandao wa tigo....by the way bora mapenzi ya barua kuliko ya simu. Mmmh nisije nikasema sana manake baba Aika anapitaga huku asije akaona namsema yeye bureeeeeee......khaaa unapiga mara saba simu haipokelewi au imezimwa, unaandika SMS ishirini inajibiwa moja au haijibiwi hata moja.

Khaa unaweza umwa walahi.....kama unamwamini utakuwa unajiuliza kapatwa na tatizo gani? Na je kama kapatwa na tatizo hata la charge na anajua kabisa mi nitakuwa namtafuta kwa nini hata asimuombe mpita njia simu akanitumia sms? Duuh unajiuliza, unakula ushibi kumbe jamaa anakula bata maeneo. Kama humuamini ndio unawaza moja kwa moja atakuwa kwa hao naniliu zake..........

Damn......
 
Kuna msemo unasema, ''Guns never kill people, people do''
Hata simu hazina tatizo ila watumiaji ndio wana matatizo.
 
asante lizzy hata mie nimemshauri sana ila nitaendelea kumshauri tena na tena
 
Mwambie shosti akimchunguza sana kuku atashindwa kumlaa,aongeze ujuzi iliathibiti jamaaaa...
 
simu zinaletaga balaa sana kwenye rship...wakati nakumbukaga enzi za zamani wakati hakuna mobile phones, watu tulikua tunaishi kwa amani sana..
 
Amejuaje kuwa anamfungia yeye tu wakati anampigia wanakua hawapo pamoja?
 
wanajf habari za mchana pamoja na mihangaiko ya kila siku! wadau kuna dada mmoja leo asubuhi kaja nyumbani kwangu anasema wametofautiana na mpenzi wake ambae wamekaa nae kwa muda wa miaka miwili. nikamwuuliza kulikoni akaniambia eti huyu mpenzi wake ana tabia ya kumfungia cm pale anahitaji kumpigia. lakini anapomwuliza anasema kwa nn ulifunga cm anamwambia ni network. na hiyo ni mara ya tatu. akawasha moto kuwa huwa jamaa ana mambo yake ndo maana hataki usumbufu hivo anaamua kufunga cm. kwa kweli wadau ninashindwa kuelewa ni yupi alie anasema ukweli coz mwanaume anasema yeye hajafunga cm, bidada anasema hii khali inamkera sana. swali hapa je! inawezekana cm ikawa on lakini unapiga inakwambia mtaja hapatikani kwa sasa?
mwambie ahamie air tel! haizingui sana!
 
Inawezekana sana. Lakini mapenzi kuamuliwa kwa simu si vizuri.
 
Mmh simu hizi! Kabla ya simu za mkononi watu walikua wanadumu sana kwenye mahusiano ila siku hizi balaa tupu,anyway mwambie asichukue maamuzi ya haraka labda kweli ni network mbovu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom