jamani chuo hiki vipi?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
kuna chuo kinaendesha kozi mbalimbali kwa njia ya distance learning,fatili www.MUSTuniversity.com
nilitaka nisome ka-kozi kamoja lakini nakua na wasiwasi je hakuna utapeli?maana unawatumia ada kisha wanakutumia registration na material unaanza kupewa nondo then exm sijaona usalama wa pesa
pili kunakozi mabazo siamini kama kwa muda huo wanao utaja unaweza kuwa umeiva.do!inanipa wasiwasi sana kwa anaejua maswala ya distance learning anisaidie ushaur
 
Back
Top Bottom