Jamani Chiku Abwao yu wapi?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Naomba mwenye taarifa, yule mama wa upinzani Chiku Abwao yukowapi jamani?
Mara ya mwisho nilimsikia Iringa huko.
Kama ana mume anisamehe nilikuwa namzimia sana!
 
Naomba mwenye taarifa, yule mama wa upinzani Chiku Abwao yukowapi jamani?
Mara ya mwisho nilimsikia Iringa huko.
Kama ana mume anisamehe nilikuwa namzimia sana!
Chiku Abwao ni mjumbe wa kamati ya chadema, makazi yake ni iringa mjini, vile vile anagombea ubunge viti maalum, yuko kwenye mchakato wa kampeni za ubunge iringa mjini akimnadi Mch Peter Msigwa
 
Back
Top Bottom