Elections 2010 Jamani CHADEMA

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la vyuo na kitovu cha elimu cha nchi.
Hiki kifungu cha sera ya chadema kimenigusa.

Serikali inapoteza pesa nyingi ajabu kuwa na ofisi za wizara Dar na Dom, nadhani ni zaidi ya miaka 40 tangu ujenzi wa makao makuu Dodoma ulipoanza na kila mwaka mabilioni ya pesa yanaelekezwa huko.


Ni bora majengo yaliyojengwa yakageuzwa madarasa na hosteli za wanafunzi
 
Yale yale majengo sii ELIMU..Maadam Dodoma ilijengwa kwa malengo ya kuwa makao makuu huwezi kubadilisha Ofisi na makazi ya viongozi kuzifanya vyuo kwa sababu tu ya majengo. Sijui kama viongozi wa Chadema wamewahi kutembelea majengo yale na kuhakikisha yanafaa kuwa shule au vyuo. Hakika inaondoa fikra namalengo ya mwalimu kabisa na haifai kum enzi kwa maamuzi kama haya.

Zaidi ya hapo gharama ya majengo haiwezi kabisa kuchukuliwa kama ni thamani ya ELIMU , tutakuwa tunafanya ya JK na ujenzi wa shule nyingi pasipo walimu na vifaa vya kutosha.

The fact remain, Dar haiwezi kuendela kukua ikiwa makao makuu yataendelea kubakia Dar. Tutayaendeleza ya CCM ambayo viongozi woote na wabunge wameshindwa kuuhama mji kwa sababu ya misheni town zote zipo Dar..
 
kama ilivyo kawaida yao hapo chadema ni pambaf kabisa.. sie tubapanga kuongeza kasi ya kuhmia dodoma.... ni moja ya sera ninazozikubali kiukweli sanaaa....
 
Back
Top Bottom