Jamani bodi ya mikopo mtuangalie kwa jicho lenye huruma watoto wa wakulima

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Wanajf wenzangu,hv hawa bodi ya mkopo mbona wanakosa utu,yani mm mwenzenu nimemaliza 4m6 na nilisajiliwa kwa njia ya nacte(nlsoma pre-entry)nachukua civil engneer,but mpaka leo bodi ya mkopo wanatuyeyusha na tushaamza kusoma ada cjalipa 2mepewa wk mbl 2we 2shalpa alafu chakula cha shda,wanadai eti bajet imekwisha jaman naomba vija 2ishinikize jaman bodi ya mikopo ituangalie cc walala hoi.JAMAN NIMECKITIKA KWANI NAHSI Hk n kihama cha elimu yangu,naomba mnisaidie kimawazo,
 
Mambo yatabadilika pale sote tutakapo mtoa madarakani mkoloni mweusi na kuandika historia mpya ya mtanzania
chakufanya tuwape elimu ya ukombozi walio vijijini na majimbo ya pwani na kusini mwa tanzania
 
hilo lako pia afadhali mi mdogo wangu anaingia mwaka wa pili. mwaka wa mwanzo alikuwa akipata 50% mwaka wa pili wameondolewa katika orodha. si balaa hili.
 
Bora kutawaliwa na mtu mweupe kuliko kutawaliwa na mtu mweuc..
 
Back
Top Bottom