jamani avast! huh!

neemaj

Member
Apr 25, 2012
5
0
jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling
yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa.

then button ya capslock iz very slow. laptop ni dell inspiron.
guys i need help!
nipo mwanza.
 
Kama unaweza kuinstall software nyingine, install uninstaller, ukimaliza ifungue then itakuonyesha programs zote ulizo install kwenye computer yako, utaweza kui-force avast yako kutoka, ukimaliza restart computer yako na install tena avast kama bado unahitaji kuitumia.
Googluck.
 
avast ina uninstaller yake ambayo unaipata kwenye website ya avast section ya downloads. Tatizo lako ni dogo, mara nyingi ukitumia avast trial uwa muda ukifika inajifunga, haiaupdate, haifanyi chochote, tatizo ni dogo weka lisence key basi inaanza kazi tena, ningekuwa mwanza ningekupa ya mpaka 2040 nnazo license keys za kutosha
 
yaani licence keys mpaka uwe mwanza. Ina maana hii sayansi na teknolojia haitoshi kumsaidia?
 
Hiyo sio AV kabisa,kazi makelele tu yasiyo na msingi. Me nilishaiweka kuitoa ikaniharibia OS.thank God nilikua na Back up. Nimehamia Linux sasa hiv mi virus hiyo nishasahau kabsa. Hamia lnx
 
the way you treat it ndo itakupa results mbovu. Nimeinstall pc za ofcn kama 7 hv zote Avast, tena ile free version. Ina update mara kwa mara, na nimeschedule computer scan.
Kama ulichelewa ku-treat pc yako ndo ukaja kuweka avast, itakusumbua.
The earlier the better!
 
avast ina uninstaller yake ambayo unaipata kwenye website ya avast section ya downloads. Tatizo lako ni dogo, mara nyingi ukitumia avast trial uwa muda ukifika inajifunga, haiaupdate, haifanyi chochote, tatizo ni dogo weka lisence key basi inaanza kazi tena, ningekuwa mwanza ningekupa ya mpaka 2040 nnazo license keys za kutosha

umeeleza vizuri ila hapo kwenye blue tundio umeharibu . Hizo licence zinapakiwa kwenye gari ton ngapi? Au na wewe mtu alikueletea physically

ebu msaidie mkuu

jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling
yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa.

then button ya capslock iz very slow. laptop ni dell inspiron.
guys i need help!
nipo mwanza.

Unaweza kudhani avast ndio tatizo kumbe tatizo ni kitu kingine.tatizo naloona hapa malezo yako hayajitoshelizi na shaka kama kweli hiyo avast ndiyo sababu ya CAPS lock kuwa slow au Dell yako possibly inaweza kuwa Mlolongo wa matatizo.yakiundi

Au kama hiyo avast umeiweka karibuni restore mashine yako kwenye tarehe kabla ya kuinsntal uone.
Altenatively Avast ina unistaler yake tembelea hapa na upakue aswclear.exe usome maelekzo jinsiya kuindoa.
 
AVAST.jpg Inaonekana kama hii hapo? Avast ni kali vibaya sana.
Kama haikubali kutoka basi restart alafu click F8 wkt inaanza kuwaka na uiwashie kwenye safe mode. Kisha ifate kwenye program file na uidelete moja kwa moja kisha uwashe kawaida na ui un install kupitia control panel. Ukitaka key zake basi tuwasiliane kwenye Skype Paul Kijoka, ntakutumia na kukupa maelekezo.
 
View attachment 52954 Inaonekana kama hii hapo? Avast ni kali vibaya sana.
Kama haikubali kutoka basi restart alafu click F8 wkt inaanza kuwaka na uiwashie kwenye safe mode. Kisha ifate kwenye program file na uidelete moja kwa moja kisha uwashe kawaida na ui un install kupitia control panel. Ukitaka key zake basi tuwasiliane kwenye Skype Paul Kijoka, ntakutumia na kukupa maelekezo.

Mkuuu ww kama unazo si um PM
 
Hiyo sio AV kabisa,kazi makelele tu yasiyo na msingi. Me nilishaiweka kuitoa ikaniharibia OS.thank God nilikua na Back up. Nimehamia Linux sasa hiv mi virus hiyo nishasahau kabsa. Hamia lnx
Wrong!
Top 3 AV free ni
Avast|Avira Antivir|AVG
Hata katika top IS imo.
Ukikosea kuhandle moto ukachoma nyumba usiulaumu :tape2:
 
Mie zote hizi siamini kitu zaidi ya Kaspersky Internet Security, hii ingawa ni ya kununua lakini ni mwisho wa virusi, viwavi na ndugu zao. Hata hivyo kwa sasa bei sio kubwa. Kwa nini kusumbuka na vitu vya bure? havikupi uhakika!
 
Wrong!
Top 3 AV free ni
Avast|Avira Antivir|AVG
Hata katika top IS imo.
Ukikosea kuhandle moto ukachoma nyumba usiulaumu :tape2:

JK kachaguliwa kua ndo mgombea bora anaetufaa na like 60% ya wananchi,that doesn't mean it's all okay does it!
 
jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling
yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa.

then button ya capslock iz very slow. laptop ni dell inspiron.
guys i need help!
nipo mwanza.

do the following
Sometimes it´s not possible to uninstall avast! the standard way - using the ADD/REMOVE PROGRAMS in control panel. In this case, you can use uninstallation utility
aswClear.
How to uninstall software using aswClear:
  1. Download aswclear.exe on your desktop
  2. Start Windows in Safe Mode
  3. Open (execute) the uninstall utility
  4. If you installed avast! in a different folder than the default, browse for it. (Note: Be careful! The content of any folder you choose will be deleted!)
  5. Click REMOVE
  6. Restart your computer
 
thank u guyz, nimeitoa na nime-install nyingine bt nimejaribu ku-update, napata hii statement, connection terminated, retrying... afu haisogei muda mrefu tu ipo hvyo, abt a half a day najaribu sasa.
naomba msinichoke plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom