Jamani anayejua dawa ya kuumwa na Nge

Zamani huko vijijini ilikua ikitokea umang'atwa nge, unachanjwa, unawekewa kajiwe flan keusi, katanga'ng'ania hapo baada ya muda maumivu yanaisha na jiwe linadondoka. Hii sio hadithi, ni kitu nimeshuhudia kwa kuwekewa. Au ndio hiyo mgadafi unaita jiwe la nyoka?
 
Mwambie avumilie tu nnge hauwi.

Umewahi kung'atwa na nge? Akikupiga mguuni maumivu unasikilizia kiunoni, kama kwenye mkono, kwapani. Wengine hali inakua mbaya zaidi hadi kuzirai. Don't under estimate nguvu ya nge mkuu.
 
Miaka 12 baadaye niko kusoma comments hapa baada ya mke wangu kuumwa na nge.
Mliochangia huu uzi 2012 mpo???
 
Back
Top Bottom