Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

usiniambie Anyisile yupo Ouagadougou....he!!
Sheria za JF haziruhusu kutoa details zaidi, lakini ningeweka mpaka picha ya kibanda anachoishi ndani ya Ogadugu, halaf mbona unamuulizia sana? nitegemee kibuti nini?
 
Sheria za JF haziruhusu kutoa details zaidi, lakini ningeweka mpaka picha ya kibanda anachoishi ndani ya Ogadugu, halaf mbona unamuulizia sana? nitegemee kibuti nini?

hakuna cha kibuti wala nini....alikuwa ananipa mavideo makali makali sasa nimeyamiss
 
uporoto alikuwa anatumia PC ya jirani kuingia JF na bahati mbaya jirani yake kahama. Yupo kwenye mikakati mipya atalejea.

mkuu unanifanya nifurahi kila ninaposoma post zako, hujakosea kusema

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Hahahaha...hebu mjaribu na Jack Cheng leo....ukifanikiwa ntakupa namba za invizibo, upige yeye afu unikabizi mimi u-invizibo watu wachezee BAN za kufa mtu

Mbona wantisha mwayego....chooni si kuna harufu ya kinyesi cha binadamu? Mi sipendi mav.i bana.

Gesti hazina choo, na zawadi yangu lazima nipewee chooni

Ni Fellow tablets....za pharmacy na wanazokunywa kina mama wazazi...

na huyu blakiberi, signature yake sielewielewi, hebu mshawishi basi atueleze
 
mkuu unanifanya nifurahi kila ninaposoma post zako, hujakosea kusema

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

kamanda wewe furahi tu bana , Maisha yenyewe wanasiasa washayaharibu na katiba zao.
 
dah! napenda kuchukua fursa hii kushukuru ujio wa member mpya anaekwenda kwa jina la "fellow tablet"
idumu mzumbe!
idumu muhimbili!
idumu pharmacy!
idumu maternity ward!

tunaombwa tumpe ushirikiano memba huyu mpya na muhim

usibitisho wa memba mpya ni huu hapa.

  • The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

    Fellow Tablet (Today)​

Nashukuru kwa karibisho Mwanana!

FT
 
jamani humu ndani kuna mtu alikuwa anaitwa ACID sijui alipotelea wapi. Popote ulipo unaombwa urudi michango yako tunaimiss!! we miss your CRITICAL thinking!!
Zawadi itatolewa kwa yeyote atakayeweza kum-convince arudi!!.
je wewe unam-miss nani unatamani arudi jamvini?

Acid alikufa kwenye milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.
 
REV????
Huyu ni wewe ??
kwa nini tu, ni nini tu, na nani tu???

Name calling is violation of JF rules! Nimeandika kiinglish kukumbushia na kuweka msisitizo usije pata BAN....FT ni member mwingine huenda si Rev
 
Name calling is violation of JF rules! Nimeandika kiinglish kukumbushia na kuweka msisitizo usije pata BAN....FT ni member mwingine huenda si Rev

mmmhh
haya ngoja ni log out kabla sija pewa BAN
hahahah lol ntarudi baada ya lisaa limoja
FT haya bwana ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom