Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

hazina masharti usijali nna dawa ya mafua babu kasingiziwa,hayatorudi mpaka baada ya miaka 250
Hebu niPM basi tupange mikakati....wallahi mafua yananitesa sana!

alamba alamba, ham ham ham... alamba tena!!!!
Umeona eh?

dah! leo nimeamka na mood ya kuzitwanga kweli aisee! acha nitafte mzembe nianzishe nae bifu
waungwana including fellow tablet, hapa kunaendelea nini?
Nani kaiba pasiwedi ya fellow tablet?
 
Hebu niPM basi tupange mikakati....wallahi mafua yananitesa sana!

Umeona eh?

Nani kaiba pasiwedi ya fellow tablet?
weye huna haja ya pm wala nini njoo Mwananyamala nshakuelekeza mpaka choo kinaangalia wapi...
 
Hebu niPM basi tupange mikakati....wallahi mafua yananitesa sana!

Umeona eh?

Nani kaiba pasiwedi ya fellow tablet?
hehehe fellow tablet jana niliota nazitwanga na van damme halaf huwez kuamini niling'oa meno mawili ya mbele ya vandamme, hii ndoto imenipa ushujaa kweli aisee! Leo lazima niondoke na nyonga ya mtu hapa.
 
Hahahaha...hebu mjaribu na Jack Cheng leo....ukifanikiwa ntakupa namba za invizibo, upige yeye afu unikabizi mimi u-invizibo watu wachezee BAN za kufa mtu

hahahaah Mwananyamala japo ukishapewa dawa chooni utahudhuria.
Mbona wantisha mwayego....chooni si kuna harufu ya kinyesi cha binadamu? Mi sipendi mav.i bana.

Khaaaaa! hivi CCM wamepiga marufuku gesti zisitumike?
Gesti hazina choo, na zawadi yangu lazima nipewee chooni

Felo tableti nddio nini
Ni Fellow tablets....za pharmacy na wanazokunywa kina mama wazazi...
 
Hahahaha...hebu mjaribu na Jack Cheng leo....ukifanikiwa ntakupa namba za invizibo, upige yeye afu unikabizi mimi u-invizibo watu wachezee BAN za kufa mtu

Mbona wantisha mwayego....chooni si kuna harufu ya kinyesi cha binadamu? Mi sipendi mav.i bana.

Gesti hazina choo, na zawadi yangu lazima nipewee chooni

Ni Fellow tablets....za pharmacy na wanazokunywa kina mama wazazi...
hehehe hapo red jana mkuu wa kaya kamlamba ban JS halaf kamuanzishia sred ya besdei. Mkuu wa kaya bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom