Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

huyu mtu yupo na anachangia sana tu mbona....au....!!!
do you know the power of ID? it is not always the same!.. think twice!!. tena sometimes ID inaweza kufunika jina lako halisi (yalinikuta sehemu fulani)
 
ahsante! unajua itakuwa kama wewe Aspirin pale utapopotea, watu watakulilia!!. ha ha ha ha ha na kukumbuka "Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"

Nimekubali ndugu yangu ndio maana kwa kawaida: Uoga wako ndio umaskini wako!!-
 
jamani mi natafuta rafiki ambaye etlist tunaweza kugongesheana 'glass'...cheers..maeneo!!mi napatikana mitaa flani ya mabibo...aliye kuwa ready aniPM..mi ni boy jamani!!msije kuuliza jinsia yako!!hahaaa!
 
hahahahaa mhh hatimae nimemuona....unastahiki zawadi babu....

hapo mneniacha hoi maana wachangiaji toka chini ni hawa katika hiy sredi:

wa mwisho: CPU
wa pili toka mwisho GAGA
wa tatu toka chini: MTM
wa nne toka chini: Afrodensi
wa tano toka chini: Nico1

anyway inawezekana natakiwa kusoma between the lines.
 
Asprin
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email

JF Premium Member

This message has been deleted by Asprin

ndio maana nilikuwa naquote ikakataa....duh afadhali
 
hapo mneniacha hoi maana wachangiaji toka chini ni hawa katika hiy sredi:

wa mwisho: CPU
wa pili toka mwisho GAGA
wa tatu toka chini: MTM
wa nne toka chini: Afrodensi
wa tano toka chini: Nico1

anyway inawezekana natakiwa kusoma between the lines.

Sorry nimeweka linki tofauti, ngoja nikuwekee linki yenyewe sasa. Samahani kwa usumbufu.

Will be right back.
 
dah! leo nimeamka na mood ya kuzitwanga kweli aisee! acha nitafte mzembe nianzishe nae bifu
waungwana including fellow tablet, hapa kunaendelea nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom