Jamani acheni bange ndugu zangu! Hili lilitokea kinondoni shamba

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Kuna jamaa alikuwa amezidisha dozi ya bange!
Akajifungia geto akakaa kitandani na kuanza kupiga kelele,
Nazaa nazaaaa
nazaaaa
watu kwenda kumchek aaghr jamaa kajaza mavi kibao kitandani!!
 
Acheni kuupiga vita mmea wetu,vuta mjani then pata msosi wa kueleweka,mbona mambo yatakuwa swadakta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom