Jaman watanzania startimes nan kaisajili??!

Mar 1, 2012
54
4
Yan hawa jamaa ni wez asee customer care tu unapiga wanakata zaid ya elfu moja hata dakika haiishi; izo vocha zao mwezi hazimalizi wanakata ovyo; cjui hii kampun ilisajiliwa na nan
 
Ni wapumbavu kweli na kwani jana EURO walionyesha mechi moja ya kwanza tu... wakati wiki nzima walijinadi kuwa wataonyesha mechi hizo
 
customer ni wizi mtupu,unapga cm haipokelewi na hela wanakata si ufala huu
 
Jamani, kuna mwenzetu humu ndani ambaye ameshawahi kuandika malalamiko haya kwa kampuni husika? Na majibu yake yalikuwa vp?

Nadhani baada ya hapo tuendelee kupanga mbinu mkakati namna ya kulitatua hili swala la kuibiana bure bure tena kimachomacho.

Naendelea kuwaza na kutafakari kuhusu hili pia.

Sent from Kijijini kwetu
 
wez wes tu mi wanakata matangazo yao hata mwez haujafika nikiwapigia customer care wanambia et weka tena yan yan yan wanaboa
 
Yan hawa jamaa ni wez asee customer care tu unapiga wanakata zaid ya elfu moja hata dakika haiishi; izo vocha zao mwezi hazimalizi wanakata ovyo; cjui hii kampun ilisajiliwa na nan

Acha uwongo kijana!Ukiweka vocha unaangalia mwezi mzima!!
 
Dawa yao si moja tu ni kuamua kutonunua mwisho wa kiburi chao utaonekana tu! TTCL waliringa sasa wako wapi?
 
Dawa yao si moja tu ni kuamua kutonunua mwisho wa kiburi chao utaonekana tu! TTCL waliringa sasa wako wapi?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom