jaman unalipa vp ada kama umepata mkopo

ada ya course,unafield kama una yo just DO THIS
chukua kiasi ulicho pewa toa accmodtion and allowns toa tena nafield toa tena na statnrs and books kiasi kitakacho baki ni ada walio kulipia kwa hiyo chukua ada toa na kiasi kilicho bakia utajua unalipia kiasi gan.THANKS
 
Back
Top Bottom