Jaman tanesco huu ni mgao tena?

SUYA

Senior Member
Jun 24, 2009
131
21
kuanzia juzi maeneo ya sinza,na maeneo mengine jijini umeme
unakatika mara kwa mara bla mpangilio kwa maoni yangu nahisi huu ni mgao kama kawaida kimya kimya.serikali iko likizo kwani hamna ulazima kuwapa taarifa wadanganyika watapiga makelele.
 
Huku kwa bi. Mkubwa naona wameshamuunguzia karedio na katv kake..hawa masharobaro 2 hii wizara imewashinda kabisa na kukosoa dhana kwamba ukiwapa vyeo vijana ndio mambo yataenda sawa kumbe ushuzi mtupu.
 
Ningependa kuona wanataaluma wakiquantify athari za ukosefu wa umeme wa uhakika kwa uchumi wa Tz, ili sisi users tu i-sue serikali hii ambayo ipo out of touch. Hatuezi kwenda kwa mwendo huu wa kikondoo huku tukiumia.
 
Back
Top Bottom