Jaman naumwa na mawazo,nateseka nfanyeje?

jipange upya huyo hana lolote ameshindwa kubadilika.....mwanaume analia nafikiri unafiki analilia faranga ulikuwa unampatia
 
I thnk u need 2 sit dwn and av sam 9c desitn aprt 4m extrnl forcs!

Yaani hapa sijapata kitu kabisa......!!!

Mkuu unayetumia mobile nafikiri ungeaandika post yako ikaeleweka zaidi kuliko kuweka hizo initials ambazo ziko kwenye blue color

Mod. Sheria inasemaje?? Hata wewe unaweza kuiedit hiyo post bwana au kuifuta...
 
Daaah!lstn grl mpaka kufkia hap ulpo nahs unalo jibu coz kumwacha unaona huruma na kuendlea naye pia huwz na kuleta hlo suala mezn inaonysha dhahr umechoshwa,wel 4 da sake of ur luv do lyk dis z 1 of da greatr thnkr say,wat evr z exclnt and be wer ur ar and b at da best!no body z perfct grl!
 
ni mwaka3 sasa tangu nianze uhusiano na huyu kaka,kiuwezo tunatofautina sana but sikujali hilo nami nmejitahidi sana kumpa penzi langu,nimejitahidi kumtunza na nimekuwa nikimvumilia sana nami aniridhishe,anipe penzi na matunzo yale anayostahili kupata mwanamke but sipait,nikimweleza ananiambia nivumilie atabadilika but mpaka sasa sioni mabadiliko yoyote,namweleza basi kama huwezi kuleta mabadiliko katika penzi letu basi jtahidi hata wewe mwenyewe kushughulika.

Kwasababu somtimes anaishiwa kabisa inabidi nimsaidie but mimi ninavyoamini mapenzi ni kusaidiana,kuonyesha ushirikiano ili wote mfurahi,hakuna lolote analoweza kunipa zaid ya penzi kitandani na muda wote nashrikiana nae tu ili nimfurahishe but mie sina amani wala furaha,kuna wakait nilikuwa nikikaa namwaza yeye tu,namuota yeye tu but now nimechoka maana sina amani wala furaha maana mimi na weakness moja napenda kubembelezwa napenda ile attention toka kwa mwanamme but hata hayo hakuna, I feel i need to move on or nitulize nafsi na akili yangu ili nipate kusoma maana niko mwaka wa mwisho wa masomo chuo but nilipojaribu kumweleza mwenzangu ame-react na ku-complain nimpe nafasi nyingne atabadilika but mi nimemweleza feelings zangu kwake zmeisha naamini mambo yatakuwa yaleyale nami nmeboreka.

But nilipomueleza yote haya darasani haendi,vpind haudhurii,hanafuraha kama kachanganyikiwa,he says he cant do without me,analia kabisa anataka nimpe chance nyingne hata kwahuruma tu angalau amalize masomo but mimi sitaki kupretend namjali wakati nimechoka naona kama na muumiza nami najiumiza nakujipa mawazo,still sina furaha yaan ndo hivi hebu nipeni mwangaza nifanye nini?
tee teeh teeh inaelekea wewe niwale wakung'ang'ania wanaume yote hayo lakini bado unajishauri?
Embu mwanamke amka jiamiani na ujipe nafasi utapata unachokitaka sio kulialia mama
 
kimbia kabisa maisha ni furaha huna haja ya kukaa mahali ambapo hamna happiness mamito
 
Mpaka hapo ni wazi umeshakinai hilo penzi,huna haja ya kujiuliza zaidi wanaume dizain hiyo ni wale wanaopenda kubebwa na kusahau jukumu lake km mwanaume jaman hata kuonesha upendo tu anashindwa!achana naye coz akimpata mwanamke mwenye uwezo zaidi yako atakutosa baada ya kukupotezea mda,komaa na shule tengeneza GPA yako,utampata atakeijua thamani yako mbele ya safari!
 
Mwanaume anatakiwa awe anajua na anapenda kumbembeleza girl wake na kuwa na attention kwake, hili linaleta raha kwenye uhusiano, Mwanamke anakuwa anajisikia raha na kuappriciate kuwa anapendwa na kujaliwa, Mi kama mwanaume hafanyi haya kwenye uhusiano wetu, hata awe handsome na pedezyee wa aina gani, nitampiga chini tu, kwasababu feelings zangu kwake zinapotea, bora nitafute mwingine kwani wanaume bomba wako wengi tu, wanaonipapatikia.
 
pole sana mdogo wangu . unajua mapenzi hayana darasa hata kidogo kila mtu anajifundisha mwenyewe.Inawezekana huyu mwenzio bado hajui namna ya kutatua tatizo lako, tafadhali jaribu kumfundisha afanye unavyotaka badala ya kumlaumu na kulalamika
 
hivi hawa .com huku jamvini mbona wanatuchanganya, sasa hapa kaandika nini.

Afadhali umeongea. Hawa jamaa wanachoandika kinaashiria jinsi kichwa chake kinavyofikiri yaani utadhani tunaongea lugha tofauti. Zamani tulifundishwa kuandika ili ueleweke kwa hadhira yote siku hizi mtu anaandika utadhani anajiandikia mwenyewe.
 
Mhhh hayo ndo mambo ya mapenzi yakipambwa na upendo wa upande mmoja huzaa UPUMBAVU. Hey piga nyama chini kwa kiasi flani ww pia unachangia kumharibu huyo mshkaji kwanini wamuruhusu kuwa Mr. Misamaha aka Ahadi za kujirekebisha. Ki ukweli mmwage kama atajirekebisha hana sababu ya kukwambia ww binafsi utagundua akibahatika kukawa na chance akikuta wajuvi washakubeba ndo bomba atakupenda hadi anaingia kaburini!
 
nikwambie.....:" wewe unampenda huyo kijana ila tatizo tu hana pesa hata ya kukusaidia hata nguo ya ndani coz najua your not demanding of expensive things from him, ni vile tu vya kukufanya ujisikie na wewe unapendwa, sasa basi hao watu wapo na ndio wanaoitwa masharo..huyo mwanaume siokuwa hajua nin yampasa yeye afanye ila anapenda mtelemko ..na huko kujiliza kisikustue eti ukadhani ana mapenzi hapana analilia pesa na huduma ulizokuwa uanmsaidia do you think ukiendeleza mgomo hatapata mpenzi mwingine?usikubali kuendelea naye muache kama mpenzi hana msaada wowote kwako mwambie its over, kwa nn utunze nguo iliyokuruka ndani ?
Kweli akuna chazaid zaid ya hilo afate 2 ushauli wako.
 
Back
Top Bottom