Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 411
Habari za jioni wanajamvi!
Naomba msaada wife ukufika wakati siku zake anapata maumivu makali ya tumbo
Na tarehe zimekuwa zikibadilika badilika
mf: alikuwa anaingia tar 21......kama miezi mi2 mbele ikachange akaanza kuingia 18....tena miezi kama mi2 tena imechange sasa 15
hii inakuwa nini au inakuwaje?