jaman mlochaguliwa mkakaze msuli

wakuu!!!!!habari zenu wote hapa jamvini. nmefurahi sana kuona post zenu kwan kila mtu anawazo la kupiga msuli ile mbaya na si vinginevyo! na mm ni mmojawao wa wale waliokuwa selected pale ud, nmechukuliwa bsc in metallurgy & mineral processin....all in all nawatakieni baraka zote pamoja na heri ktk masomo yenu ili siku moja tukutane tena kwenye applctn xa ajira....Goood luck fellas!!!!
 
2nashukuru sana mkuu na pia hongera
 
wale wa Ardhi hongeren na wa vyuo vingine mliochaguliwa pia hongeran tukasome ili tuongeze maarifa zaidi....
 
Jamani kuna baba yangu mdogo alinambia BVM lazima usome minyoo 2500 na kuielewa akadai hiyo inatoka kwa wanyama kwenda kwa binadam na kutoka kwa binadam kwa wanyama. Yeye anapiga mzigo kwenye kawizara flani hapa TZ Kama mtaalamu wa wizara.
Wasiwasi wangu ni je, Ze duduz na vijana wako mtapata time ya kuja jamvini?

Ila hiyo course inashavu sana though watu hawamalizi wakiwa idadi kama ile walioanza.

KILA LA HERI.
 
dah wamenitupa udom barchelor of science in physics but me sikuiomba hii kit ila tushukuru kwa yote
 
:shetani:yan chuo ni kua mwanzo mwenga,mxuli xaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana nna maugwadu
 
Jamani kuna baba yangu mdogo alinambia BVM lazima usome minyoo 2500 na kuielewa akadai hiyo inatoka kwa wanyama kwenda kwa binadam na kutoka kwa binadam kwa wanyama. Yeye anapiga mzigo kwenye kawizara flani hapa TZ Kama mtaalamu wa wizara.
Wasiwasi wangu ni je, Ze duduz na vijana wako mtapata time ya kuja jamvini?

Ila hiyo course inashavu sana though watu hawamalizi wakiwa idadi kama ile walioanza.

KILA LA HERI.

Usikonde kaka tutakomaa na feedback tutakupa..WE CAN
 
Msuli ntapiga usiku kucha mchanakutwa pumbavu na firstclass lazima nikaichukue hamna mdastori kukesha tuuuuu by mpigamsuli (mkali mtarajiwa wa muccobs)
 
hahaha 2nategemea 1st dgree mkuu
 
Back
Top Bottom