jaman mlochaguliwa mkakaze msuli

QUALIFIED

JF-Expert Member
Jun 13, 2012
773
112
wakuu tusijesikia izo furaha zinakua matunda ya supp na disco mkienda mlipopangiwa fanyeni shule! Nawasilisha wadau
 
Sawa kabisa mkuu, umesema kama mzazi kabisa anaemtakia mwanae mafanikio... Fingers crossed
 
Mimi kwangu mbunye kwa sasa hakuna nafasi ngoja tukakomae angalau tupate GPA za kuridhisha au wadau mnasemaje !
 
Back
Top Bottom