Jaman mapenz yapo kwel hapa.

Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
hakupendi huyo sema anakutumia kama kipoozeo cha siku anakopenda kukizingua
 
Hajazoea kuwa girlfriends?!! Me uongo sipendagi?okie,so,hata moyo wa ubinadam uhana,wa kujali,huruma? Nahisi na ubahil ndo kwao. Banae life fupi ili,punguza stress,raha jipe mwenyewe,utazeeka bure,em mpotezee,utapata mwingine tuu,mwombe Mungu
 
Lakini ni swali la msingi! Kwani jamaa akimfukuzia walikuwa hawawasiliani? Does she talk to him about anything? Do they talk of the future?

inaonekana jamaa akipiga simu tu, binti kishajua kifuatacho ITV.... halafu inawezekana hata ngoma ikawa ikaanuliwa kimya kimya tu
 
anakuzingua tu,achana naye sasa hapo kuna future gani kama hajui wajibu wake

mawasiliano ni two sided...hii kufikiria mwanaume inabidi awe zaidi ni utumwa.....kama unampenda ungemwita na kumuuliza ili mpate namna nyingine ya mawasiliano......hata mi mwanzoni swagger za mastoriii na mabinti nilikuaga sina...bt nilipompata mtu aliyenipenda aliweza kunifanya niweze...ukigundua tatizo...plz jaribu kutatua......huwezi achana nae...
 
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

Inapofikia mahali ati ku-do ndio mapenzi basi ni hatari kubwa, kwani hamuwezi kuwa wapenzi hadi m-do?
 
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

Hakuna mapenzi na upendo anza mbele. Tena unakosea kumuita mpenzi, yeye hakupendi!!!
 
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

nyie ni "friends with benefits"-mwenzio analijua hilo-ila wewe inaonyesha hulijui
 
Hiyo ni hatari sana.. Lakini na wewe dada kwa nini usimkalishe chini mkayaongea...Ukiona habadiliki ujue hakufai huyo..
 
nimeshafanya ivyo sana ndugu yngu, ila hyo point yako ya mwsho nimeipenda
 
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

Zamani wanaume walikuwa wanaoa, siku hizi mnaoana, eti?
 
kujitambua ni hatua kwanza... she should know what she is worth, then she will realise whether she is being treated right or not...

I know, mara nyingi tunajithamanisha wenyewe from the very begining!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom