jaman inatolewaje???

moulaa

Member
Feb 1, 2011
42
2
Natumia avast antivirus 5 leo nimepata nyingine ambayo ni v 6, asa nikajua nikiinstal itaitoa ile v 5 badala yake zpo zote mbili nikijarbu kutoa moja haitoki nikaweka avira imtoe haitoi pia,, je niitoe vp?? kuna njia nyingine ya kumtoa huyu avast?? please i need you help............
 
Nenda jukwaa la sayansi na teknologia humo utawakuta wataalamu wa it watakusaidia.
 
mkuu nenda kwenye start select control pane, select add or remove kisha chagua icho unachotaka kukitoa ikigoma tujulishe
 
Natumia avast antivirus 5 leo nimepata nyingine ambayo ni v 6, asa nikajua nikiinstal itaitoa ile v 5 badala yake zpo zote mbili nikijarbu kutoa moja haitoki nikaweka avira imtoe haitoi pia,, je niitoe vp?? kuna njia nyingine ya kumtoa huyu avast?? please i need you help............
Umefanya kosa kubwa kuweka AntiVirus hizo 3 kwa wakati mmoja zitowe zote hizo kwanza kwa ku download hii program inaitwa RevoUninstaller bonyeza hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems

kisha ondosha hizo zote 3 Anti virus ndio u download hiyo antivirus unayoitaka usisahau kusema Thanks.
 
mkuu thanks so much,,, nimefanikiwa,,, maana ilikua zmebaki dakika tu format computer,,,
 
Umefanya kosa kubwa kuweka AntiVirus hizo 3 kwa wakati mmoja zitowe zote hizo kwanza kwa ku download hii program inaitwa RevoUninstaller bonyeza hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems

kisha ondosha hizo zote 3 Anti virus ndio u download hiyo antivirus unayoitaka usisahau kusema Thanks.
Hii kitu niliijulia hapa JF na inanifanyia kazi nzuri ya kuondoa takataka zote. Atumie hiyo itamsaidia tu.
 
Next time Kabla haujaweka AV moja ondoa zingine. Huwa zinagongana na kupunguza ulinzi badala ya kuongeza.
 
Au next time kama ukiwa unataka kufanya kitu na haupo sure zama hapa JF uliza swali lako simple kabisa na majibu utapewa then ndio unaenda kufanya maana usije ukafanya ikawa too late kila kitu kimeharibika.....
 
Kuna hii program ni nzuri kwa afya ya PC yako inaitwa "Tuneup utilities" zipo version nyingi mpaka latest ambayo ni ya 2011 ila yeyote itafanya kazi hii ina utility kwaajili ya Program uniinstall. It will do better.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom