jaman doz iendelee? msaada

Van l

Member
Jan 20, 2012
74
12
Nina mdogo wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo vaginal infection jana alienda hospital na akapewa vdonge vya kuingiza sehem za sir kwa 6 days,tatizo n kwmba leo ameingia period ameniuliza aendelee na doz au akatishe doz mpaka period iishe coz anaofia dawa inaweza isifanye kazi
 
LO! Hapa kuna kazi kweli, uwe mkweli hapa inaonyesha ni wewe! Acha kwanza period iishe, ukiendelea haitafanya kazi.
 
Clotrimazole pessaries/vaginal cream insert 1 tablet or apply at night for 6 days, kutokana na uelewa wangu hutumika hata kama mwanamke yuko period ila hairuhusiwi kwa mjamzito,au kama inakuletea mazara unatakiwa kuripoti kwa Dactari wako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom