Jaman bado sijapata mke!!!!!!!! Niko sirious

mussaar

Member
Aug 25, 2012
9
0
mimi ni naitwa mussa wa arusha. narudia tena kenye janvi hili natafuta mchumba ambaye atayekuwa mke wangu. akiwa mikoa hii dar es saalam, arusha, kilimanjaro, singida, manyara na tanga itakuwavizu kwan itakuwa rahisi kuonana

sifa zangu ni: nina miaka29, ni mwajiriwa serikalini, muislam, elimu ya chuo kikuu, si mfupi ni mrefu wa wastani, ni maji ya kunde, ni mchapakazi

sifa za mwanamke: miaka18-27, elimu kuanzia form four na kuendelea, awe mzur wa kuvutia, awe muislsm au mkristo,awe anafanya kazi au biashara, awe na umbo linalovutia, awe na maadil


kwa aliye tayari ani PM au email yangu ni mussaomary989@yahoo.com email na msg zote zitajibiwa kwa wakati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom