Jamami vodaaaaaaaaaaa...............

Mzee wa Mbinu

JF-Expert Member
Nov 1, 2011
245
126
Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma hiyo sms ya kushiriki kwa hesabu ndogo voda com ina wateja Milioni 4.5 kwa kuwaibia kiasi hicho cha fedha inakuwa imekusanya kiasi cha Tshs. 2.475 Bilioni kwa siku.

Huu wizi wa huyu jamaa wa kagoda ltd yaani yeye anataka mpaka watanzainia wamtambue yeye ni bingwa wa wizi yaani anatunyonya kwenye kila nyanja za kiuchumi, jamaa noma ile mbaya huku kagoda, huku richmond, huku dorwans, hivi hawezi kufanya biashara kwa haki kama wengine?
 
Hivi huu msamiati bure bado upo kwenye ulimwengu huu wa sasa?

Hakuna kitu naogopa kama nikishasikia "bure" hasa likiambatana na "vigezo na masharti kuzingatiwa"
 
mimi siku hizi naweka jero nahakkikisha nimelimaliza ndo naweka jingine.
kimeo changu kimeanguka kwenye maji laini iko kwenye pochi ila nilikuwa niiweka tu ianakuja meseji hushikiki,nikajiuliza hawa watu ni wezi tu au wehu?cm haipatikani hamjui mtu anatatizo gani mnamkata 550 yake wakati hata akishinda hayupo hewani.
voda imekula kwao mimi ni jero tu,nilikuwa naweka mpaka laki sasa wataisikia kwenye bomba.
 
hapo kwenye underline ndipo Watanzania tunapoua timu. Unajiitaje mnyonge ukiwa kwenye nchi yako, ni nani unadhani ni 'mkubwa' then kama sio hao mafisadi!?
Hii nchi haitakombolewa na haya mambo ya voda yataendelea kila sehemu endapo hii kasumba ya kujiita wanyonge haitaisha! Mafisadi ni watu wadogo sana na ndio maana ni waoga na wewe unayejiita mnyonge ukisimamia vilivyo unachostahili, utaniambia!
Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma hiyo sms ya kushiriki kwa hesabu ndogo voda com ina wateja Milioni 4.5 kwa kuwaibia kiasi hicho cha fedha inakuwa imekusanya kiasi cha Tshs. 2.475 Bilioni kwa siku.

Huu wizi wa huyu jamaa wa kagoda ltd yaani yeye anataka mpaka watanzainia wamtambue yeye ni bingwa wa wizi yaani anatunyonya kwenye kila nyanja za kiuchumi, jamaa noma ile mbaya huku kagoda, huku richmond, huku dorwans, hivi hawezi kufanya biashara kwa haki kama wengine?
 
TCRA wamelala Zziii.. Wananchi wanatapeliwa mamlaka husika ime unyuti tu.
 
TCRA wamelala Zziii.. Wananchi wanatapeliwa mamlaka husika ime unyuti tu.

tcra hawajalala mzee si unajua wamewapeleka mwezini kwenye mafunzo wafanyakazi wao watatu kwa gharama ya shs bil 2.2 wakirudi hao matatizo yote voda,tigo,airtel etc yatakwisha????teheeeeeee???
 
Back
Top Bottom