Jamaa kwenye pepa..!!

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
jamaa mmoja alienda kufanya mtihani akiwa amejiandaa na chabo yakutosha aloficha ndan ya suruali. Wakati mtihani unaendelea invigilator alimkamata jamaa na chabo yake akamwuliza jamaa,"hiki nini? Jamaa akamjibu," unajua bwana invigilator,hata aliyetengeneza computer alijua kwamba hard disk huwa inajaa ndomana akatengeneza EXTERNAL'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom