Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

Tena jamaa alinidokeza kwamba jana yake alichelewa sana kurudi nyumbani na alimweleza mkewe kwamba amechoka sana na kazi na hivyo hakumgusa mkewe kabisa! Kupanic kwake ni juu ya kulala mwepesiiiiiiiii!

Hapo patamu, kumbe alichelewa na nyumbani eeh,asichoke na kazi mchezo na hivi karudi mwepesi??!!..mwambie tu amekosea vibaya sana na huna la kumshauri, amsikilizie mkewe reaction yake!!..anamaliza mwezi vibaya!!
 
Kesi nyepesi nyepesi kama hii, sisi wakongwe ngoja tukae pembeni tupate uzoefu wa vijana wadogo!:help::help::love:
 
Mbu ni wewe?haya bwana....mie wkati wangu wa kasheshe home hii ilinitokea, akajua mkewe ana akili ya kushikiwa so alijua hakutakalika kabisa japo tupo kweny matatizo, ilikuwa kinyume, alivyorudi job ckumuuliza lolote, anasalimia mara mbili mbili kuhakiki kama naitika, kilimuuma roho sana alikuja kutoa maelezo mwenyewe baada ya kutaka tuweke mambo sawa, wanaume cjui muwekwe kwenye kundi gani kwa kweli.

Adhabu yako mbaya sana aisee....i wont recomend it for me....
:focus:
Ukizingatia keshi ni 01 april.....ajifanye alikosea kuiwahisha....
 
Adhabu yako mbaya sana aisee....i wont recomend it for me....
:focus:
Ukizingatia keshi ni 01 april.....ajifanye alikosea kuiwahisha....

darling....hapo nilikuwa cna option coz ningeishia kudanganywa na ictoshe tulikuwa hatupo kwnye wakati mzuri kabisa, nikaona sasa wacha aendelee tu, na hata alivyotaka kuyamalize matatizo bado ckumuuliza lolote juu ya ile msg mwenyewe alifanya ka outing akaona anielezee huko, kuna wakati inabidi tu iwe hivyo, utauliza mangapi an unajua utaishiwa kudanganywa?..na uzee huu aniambie msg kama hiyo hapo juu kaniwahishia april 01?....masihara haya, alishindwa kutuma ya kifamilia zaidi aje anitumie pumba kama hizo?
 
  • Thanks
Reactions: RR
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Alilala lakini hawakudo inakuwaje

achukue kilichochake aende kwa huyo dada mtamu
 
Kesi nyepesi nyepesi kama hii, sisi wakongwe ngoja tukae pembeni tupate uzoefu wa vijana wadogo!:help::help::love:

...umeona ee? Mbu alijichongea kutetea ndoa hii matokeo yake nikapigwa jicho la "hata wewe?"
Acha nijiweke kando na hii Quote ya dada'ngu;
- " kama bado anampenda mume wake na anahitaji kutulia kwa sasa aclogwe aseme ukweli...akisema ukweli nakwambia kesho tutasoma divorce....afe nalo rohoni...." - :hail: Nyamayao

28th March 2011 11:32 AM

Hapo patamu, kumbe alichelewa na nyumbani eeh,asichoke na kazi mchezo na hivi karudi mwepesi??!!..mwambie tu amekosea vibaya sana na huna la kumshauri, amsikilizie mkewe reaction yake!!..anamaliza mwezi vibaya!!

..khaaa! ...rafiki ni wakati wa dhiki na faraja BelindaJacob jamani, loh!

..khaaa! ...rafiki ni wakati wa dhiki na faraja BelindaJacob jamani, loh!

Ni kweli tena wakati wa matatizo ndiyo rafiki mwema anajulikana..ila siyo matatizo ya kujitakia:)) Ina mana alipotoka kupunguza uzito kamsevu kwa simu kama wife?!! iweje kachanganya? kweli mbio za muongo ni fupi!!
Bwanaa ehh...tuwaachie wenyewe..TGIF mana leo naona ijumaa sijui why!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

HA HA HA!! ...BJ tatizo lako upo "siku moja mbele," duhh!!! eti kamsevu kwa simu kama wife! LOL!
 
juzi kulikuwa na mtu alileta mada hapa inafanana na hii....nikasema kuna njia rahisi sana ya namna ya kukabiliana na vitu kama hivi kwanza hutakiwi kupaniki....pili unatakiwa kucheza na psychology ya mke wako na zaidi kabisa unatakiwa kutumia mbinu za kijasusi.....kwa kesi kama hii inafaa utumie njia moja inaitwa steganography hii nji sahihi ya kuondoa utuata kwa mke wako maana tunasema not every thing you see is as it is........usitumie njia ile nyingine ya cytography maana itakubidi uanze kwa kuelezea ni nani uliyekuwa unamtumia hiyo meseji ambapo utakamatika kirahis......
 
muhuni halafu muoga....useless!!! achuchumae aombe msamaha :bored::bored:
 
Kesi nyepesi nyepesi kama hii, sisi wakongwe ngoja tukae pembeni tupate uzoefu wa vijana wadogo!:help::help::love:

sio siri babu,
mi sioni kesi ya ajabu hapo ya kukufanya usononeke!
hii issue mbona ndogo tu!
 
hii co story ya kwel! Iliwah kutolewa kwny gzt la ijumaa kwnye kpngele cha INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? Wa2 waache kulet stry za magzt na kjfnya ni real storz.
 
Kesi nyepesi nyepesi kama hii, sisi wakongwe ngoja tukae pembeni tupate uzoefu wa vijana wadogo!:help::help::love:
duuh!...vizee vya siku hizi, havina msaada kwa vijana ndiyo maana vijana wa chama kile wanavipa kubwa...lol....toa mchango wako uokoe jahazi
 
ushauri wa nini hapa wakati alikuwa anaona raha kumdanganya mkewe.
amelikoroga mwenyewe na sasa anatakiwa kulinywa.
 
Back
Top Bottom