Jamaa kaingia kwenye choo kwenye baa moja yenye vyoo kadhaa

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Jamaa kaingia kwenye choo kwenye baa moja yenye vyoo kadhaa. Ile anataka kukaa akasikia sauti toka choo cha pili....
Sauti: "Vipi mambo?"
Jamaa: (Kwa upole) "Poa tu..."

Sauti: "Unafanya nini saa hizi?!?"
Jamaa: "Najisaidia..."

Sauti: "Eee bwana ngoja nikate simu ntakupigia baadae kuna **** choo cha pili anajibu kila ninachokuuliza!!!!!"

[/h]
 
wamentumia ada ya shuleee.... wamekataaaaaaaaaaaaa
 
yaani leo kazi zilivyokuwa zimenichosha hakika hiki kichekesho kimenifanya niwe kama ndo nimetoka kuamka
 
Huyo jamaa amezidi uungwana. Toi unafanya yako unasepa. sipati picha noma lale kama walipotoka waligongana mlangoni
 
[h=6]Jamaa kaingia kwenye choo kwenye baa moja yenye vyoo kadhaa. Ile anataka kukaa akasikia sauti toka choo cha pili....
Sauti: "Vipi mambo?"
Jamaa: (Kwa upole) "Poa tu..."

Sauti: "Unafanya nini saa hizi?!?"
Jamaa: "Najisaidia..."

Sauti: "Eee bwana ngoja nikate simu ntakupigia baadae kuna **** choo cha pili anajibu kila ninachokuuliza!!!!!"

[/h]

hayo majanga
 
Back
Top Bottom