Jamaa kabahatika kupata Pirate la kisomali!

Si unajua mzee Ivuga baadhi ya mabinti wa uswazi wakiona wameweza kumcontrol mumewe ***** hadi kufikia steji ya kumvisha shanga hujisahau na kudhani basi anaweza kumvisha mwanaume yeyote shanga. I can tell u from what she has wrote, ni kwamba huyu mwanamke ni desparate!

naona kaingia sehemu ambayo sio.
Lakini kweli mkuu kuna nyumba mwanamke ndie mwenye sauti kuliko mwanaume
 
Nenda Kaishi kenya, sehemu inayoitwa mandera wapo wa kumwaga! wanachotaka ni jinsi ya kuwatafutia papers yeye ( mwanamke) na ndugu zake waje nchini kwako kuishi. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa, mkizaa katoto ambako katakuja ku-turn pirate au good citizen ni ninyi!!!

mkuu Payuka ushanipa ujanja hapa , si unajua kakiteka meli moja tu tushatoka familia nzima? We si unajua midola wanayoitaka ili kuachia meli.
 
Thread nyingine bwana! Hivi jamaa na yeye akianzisha thread akisema ana jamaa yake akataja kabila mfano mhehe halafu akaingia woga kuwa huyo rafiki yake anaweza kumlisha mbwa!
Au mchaga akasema kuwa anaweza kumchori, au mhaya akasema anaweza kum............. au akasema tu anaweza kumwambukiza DNA za kibongo za kimajungumajungu kama za mleta thread!

Nashindwa kujua mantiki ya hii thread ila mleta thread akumbuke wasomali hawakutaka wawe pirates!!!! wanasiasa ndio waliowafikisha walipo leo hii na hakuna mtu anaetaka kuwa mbaya duniani lazima kuwe na chanzo cha yeye kubadilika na kuwa mbaya. Hapa Tanzania tunao wasomali wengi na wanaheshimika mfano mmiliki wa hotel ya paradise na tansoma mzee guledi, yupo transporter anaitwa Hassan Transporter kuna mwansiasa anaitwa Aden Rage kuna mama mmoja msomi anaitwa somebody warsame. Na hapa kwetu unapotoka wewe mheshimiwa mleta mada kuna watu wa ajabu ajabu mnawajua! tunao kuanzia kaya mpaka kitaifa. Tuna mafisadi, tuna wazinifu, tuna majambazi, tuna wauza ngozi za binaadamu, tuna wauwaza viungo vya albino...............
 
Nenda Kaishi kenya, sehemu inayoitwa mandera wapo wa kumwaga! wanachotaka ni jinsi ya kuwatafutia papers yeye ( mwanamke) na ndugu zake waje nchini kwako kuishi. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa, mkizaa katoto ambako katakuja ku-turn pirate au good citizen ni ninyi!!!

u payuka stop lowering our dignity.who do u think u r?kweli hiyo jina inakufaa(payuka),unapayuka mambo ya uowonga tangu lini umefika mandera.somali r not that cheap u think.so stop that shit u r talking abt them.
 
Asante mkuu nitajitahidi kuondoa mawazo haya machafu ni shetani tu anaingilia himaya yangu ya kufikiria!

Suppose unatoka kanda ya ziwa halafu unapoishi kuna albino.........................................(..........................................)
 
u payuka stop lowering our dignity.who do u think u r?kweli hiyo jina inakufaa(payuka),unapayuka mambo ya uowonga tangu lini umefika mandera.somali r not that cheap u think.so stop that shit u r talking abt them.

Mdogo mdogo Salma eehhhh.

Halafu wengine sie wazee hizi lugha fupi fupi unatuacha kwenye mabalbu bana tuwekee tuelewe malizia malizia basi vimaneno natamani kuelewa ila nashindwa napaki kuotea tu ni ombi tu lakini
 
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.

Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?

Asanteni
mtoto asili yake ni baba so worry not
 
ulikula maganda sasa subiri kuhara
Conquest-umekumbatia mbuyu kazi kwako
 
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.

Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?

Asanteni

malaika wa Mungu umeshamhukumu mara hii kabla hajakuwa. Ondoa kabisa mawazo hayo
 
Shost hata hujui basi bibie, Credo yupo Bongo siku nyingi na Machupa nae kazaa na msomali mtoto wa kike ana mwezi sasa na siku kadhaa!!!na kwa taarifa yako hawahitaji hizo kazi za kufagia,jaribu kufwatilia kabla ya kuandika humu!!
namshangaa anatoa wapi mawazo mabaya kama hayo kwa mtoto wa mwenzake,hajui ulimi uliponza kichwa ndo hawa baadae wanashangaa nini kimetokea kumbe hajui imerudi kivingine,amuulize yule mchezaji Shekhani kajipatia karatasi zake kiulaini tu wakati kina Machupa na mwenzake Credo wanaoza huko hata kazi ya kufagia wanaitamani karatasi ziko wapi...
 
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.
Ila mtoto wa ng'ombe ni Ndama,na wa Kuku ni Kifaranga na wa Ndege ni Kinda
 
wandugu mnawahuku wasomali wote kwa matendo ya kikundi cha wahuni wacheche wa AL-shababu

Ugaidi hauna ethnicity,mkumbuke waziri mkuu wa israel alishawahi kusema 'if i were a palestinian I would a terrorist'

Huyo mtoto asomeshwe shule zifaazo zitakazomkomboa kifikra au kama vipi huyo mzazi amtumbukize shule za .................atatamani asingemleta duniani.
 
Shost hata hujui basi bibie, Credo yupo Bongo siku nyingi na Machupa nae kazaa na msomali mtoto wa kike ana mwezi sasa na siku kadhaa!!!na kwa taarifa yako hawahitaji hizo kazi za kufagia,jaribu kufwatilia kabla ya kuandika humu!!
haya bwana ntaanza kufwatilia:lol::lol::lol:,kumbe kapata tayari namtakia kifyagio chema....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom