Jamaa kabahatika kupata Pirate la kisomali!

usiniletee siasa zako za maji taka weye.......umbea tu baba zima tutakuvisha shanga muone kwanza:hatari:

Si lazima uchangie kila thread we ****ya! Hapo ndo mnapokosea watoto wa uswazi. Kuhusu shanga kumbe unajua ni watu wa namna gani huwa wanazivaa? umenifurahisha kweli kumbe mwenzetu unashanga??? ni ngapi hizo embu baeleze banaume ya JF wa-hack computer yako kujua identity then kesho tu wakuchomoe uliko uliwe mzigo!!!
 
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.

Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?

Asanteni

We mkabila gani? unauhakika watu hawakuogopi kutokana na kabira yako au rangi yako? acha izo mkuu, mtoto mtoto tu
 
thanks salma! what's an eye opener!!!!! I thought every somali is a pirate, but since you hv clearly elaborated I think I need 2 change my habit!
Once again apologies for mis-conception!

Granted! broda!
 
Duh jamani wew e payuka mawazo hayo yanatoka wapi? Ondoa mawazo mabaya kwa malaika wa mungu
 
Mmmhhh hali ya hewa hapa ni tete kama mvua inataka kunyesha vile

Umeona eeeh! sasa leo kakutana na Payuka! kama kazoea kuwa offend wengine leo mi ninamsababishia psychological torture tu bila kupigwa ban na moderators!!!
 
Duh jamani wew e payuka mawazo hayo yanatoka wapi? Ondoa mawazo mabaya kwa malaika wa mungu

Asante mkuu nitajitahidi kuondoa mawazo haya machafu ni shetani tu anaingilia himaya yangu ya kufikiria!
 
Umeona eeeh! sasa leo kakutana na Payuka! kama kazoea kuwa offend wengine leo mi ninamsababishia psychological torture tu bila kupigwa ban na moderators!!!

Sory are you a Man or Woman. Usichukie nijibu tu kwa roho safi
 
Si lazima uchangie kila thread we ****ya! Hapo ndo mnapokosea watoto wa uswazi. Kuhusu shanga kumbe unajua ni watu wa namna gani huwa wanazivaa? umenifurahisha kweli kumbe mwenzetu unashanga??? ni ngapi hizo embu baeleze banaume ya JF wa-hack computer yako kujua identity then kesho tu wakuchomoe uliko uliwe mzigo!!!
hahahahaha kweli we payuka,inaonekana unapayuka chini na juu:lol:
 
U guys le mi tel u one thing not every somali u c is pirate.even me is somali nd am married 2 tanzanian nd i got babie girl wid him.inamaana even ma babie girl is pirate.u guys let respect each other dont tok shit abt somalis

hi Salma.. Do you have young sister?
 
bwah ha ha ha ha !! Makubwaa, sasa kwa nn umvishe shanga mwenzako?

Si unajua mzee Ivuga baadhi ya mabinti wa uswazi wakiona wameweza kumcontrol mumewe ***** hadi kufikia steji ya kumvisha shanga hujisahau na kudhani basi anaweza kumvisha mwanaume yeyote shanga. I can tell u from what she has wrote, ni kwamba huyu mwanamke ni desparate!
 
Kwakuwa umesema kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka nadhani huyo mtoto hatakuwa gaidi kwani mzazi wake c pirate. Malezi ndo jambo la msingi wakuu kwakuwa ugaidi hauko kwenye genes!
 
Wivu tu unamsumbua, Wanawake wa Kisomali ni wazuri sana. Hata mimi ni Mtanzania napenda nipate Mwanamke wa Kisomali. Mtu mzima hawezi akazungumza maneno ya udhalilishaji kama hayo. Ni ujinga mtupu. Shame upon you
 
Nenda Kaishi kenya, sehemu inayoitwa mandera wapo wa kumwaga! wanachotaka ni jinsi ya kuwatafutia papers yeye ( mwanamke) na ndugu zake waje nchini kwako kuishi. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa, mkizaa katoto ambako katakuja ku-turn pirate au good citizen ni ninyi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom