Jamaa hapumziki na misafara anatufilisi

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Yaan alikuwa UK anaunganisha Botswana kwenye sherehe za kuzaliwa Chama!
safari hii haendi kuxika songea?
 
kwa nini asimtume nape??huyu mtu anahitaji ushauri,siyo kila mwaliko lazima akubali
 
Those have been his priorities. Anahiyaji kupumzika zaidi ya kufanya kazi. Ukijaribu kutafakari sana ni jinsi gan huyu mtu anafanya kazi utaumwa kichwa. Personally i never question myself to ask why he is doing this. ****** zaidi ya umjuavyo!
 
Those have been his priorities. Anahiyaji kupumzika zaidi ya kufanya kazi. Ukijaribu kutafakari sana ni jinsi gan huyu mtu anafanya kazi utaumwa kichwa. Personally i never question myself to ask why he is doing this. ****** zaidi ya
umjuavyo!
hope he has advanced to mark the record in guiness book of records
 
unajua matatizo ni mengi sana hapa nchini kwake, yeye kama raisi kashindwa kuyatatua sasa ni bora atembetembe ili muda uzidi kwenda, akikaa hapa hana jipya...
 
unajua matatizo ni mengi sana hapa nchini kwake, yeye kama raisi kashindwa kuyatatua sasa ni bora atembetembe ili muda uzidi kwenda, akikaa hapa hana jipya...
ukikimbia kivuli chako inadaidia mkuu?
 
Hizo safari za mambo ya vyama angekuwa anawaachia akina Msekwa, Mukama na Nape. Jamani mwenyekiti anakaba mpaka penalti, maajbu!! Hawa wafuasi wao watasafiri lini nje?
 
Hizo safari za mambo ya vyama angekuwa anawaachia akina Msekwa, Mukama na Nape. Jamani mwenyekiti anakaba mpaka penalti, maajbu!! Hawa wafuasi wao watasafiri lini nje?
assignment delegation hana
 
Back
Top Bottom