Jamaa angu anaomba ushauri

shoshte

Senior Member
Apr 9, 2011
129
20
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi nje ya nchi, ana mchumba wake wanataka kufunga ndoa mwaka huu
mchumbake yupo bongo anafanya kazi.Huyu jamaa hii kazi inamlipa sio mbaya ila ni ya mkataba ambao unaisha mwakani
katika pilkapilka kapata kazi nyingine Bongo hii kazi ni permanent na mshahara wake ni nusu ya ule mshshara anaopokea nje
jamaa anashindwa afanye nini anataka pesa haraka haraka na pia Bado anatamani kukaa na familia karibu siunajua
tena familia siku hizi tumsaidieje jamaa yetu????hii kazi ya bongo 100% kapata mshahara nusu ya ule na nyumba maji umeme
freee na matibabu ya familia
 
Afikirie baada ya mkataba wake wa nje kuisha atapata kazi nyingine nyumbani zaidi au kama hii anayotaka kuipoteza!
Mwakani sio mbali, mchumba anaweza kuvumilia.
 
Ni vigumu kukushauri unaposema Nusu mshahara.. Nusu kiasi gani? Elfu 50, Laki Tano au Million 5? Kikubwa huyo rafiki yako angalie kama huo mshahara kwa nyumbani utamsadia mahitaji ya familia yake..Kumbuka Nusu mshahara wa nyumbani ni sawa na 75% ya mshahara wa nje kutokana na tofauti ya gharama za maisha..labda kama nje ya nchi unayosema ni Kenya au Malawi...

Kufunga ndoa au kuoa haina uhusiano na mshahara..kama wamependana wataoana kwa mshahara Zero, Nusu au 100%..
 
laki tano ndo tofauti kazi ya bongo aliyo ipata sio mbaya sana coz yeye anaona umbali aliko ina mgharimu sana mawazo ya nyumbani kuliko kila kitu na pia mawasiliano ni gharama sana anaona kuwa hii kazi aliyoipata inaweza kumsaidia kwani atakuwa nyumbani na pia anaweza kujiendeleza kimasomo na pia anaweza kufungua miradi nk
 
Ni mawazo mazuri..nam - support 100%..kwani anajua atapata nini na atafanya nini...Kushinda vita si kushika kitita balii ni ku - maximize impact ya hiko kitita..hata kama ni kidogo..
 
Kazi zipo tu mkuu, la muhimu ni kuwa karibu na familia! Unadhani ina maana gani kama unapata mshiko mkubwa halafu familia inaenda mlama? Mwambie arudi home tu. Apige kazi nyumbani. Ni vitu vichache sana ambavyo familia ikiwa navyo inaridhika.
 
Nimekusoma mkuu nitamweleza ushauri wako kwani familia inaweza kuwa na kila kitu ila pasipo kuwa na amani duu inakuwa balaa
 
Back
Top Bottom